Mtazamo wa wazungu kuhusu baa la njaa Africa 2011...amaizing

Leornado

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
1,529
196
Katika kufanya background research ya Famine in Africa particulary in Ethiopia, nikakutana na hii comment ambayo imeshinda kama "the best comment" :

"In Ethiopia іtѕ thе same аѕ οthеr african nations,thе men refuse tο ɡеt up аnԁ hеƖр.Thе women struggle tο try аnԁ farm ѕοmе food,whіƖе raising 7-8 kids.Whеn thе men ԁο ɡеt up thеу јυѕt ɡο out аnԁ impregnate οthеr women whіƖе аt thе same time spreading A.I.D.s Itѕ thе same over аnԁ over again. Gο tο africa аnԁ see fοr yourself,іtѕ truly a tragedy".


Kuna ukweli hapo au wanaume wa kiafrica tunasingiziwa?? Jamani tufanye kazi kwa bidiii njaa inatisha hasa kwa wenzetu Ethiopia ni maafa kwa sasa.
 
Back
Top Bottom