Kajinyonge tu.........
Ha ha ha...ndiyo raha ya soka hiyo
Ozil ni usajili ambao umefunika Ulaya na dunia nzima kwa kuwa hata huyo Bale wa euro 100M Real Madrid wameonekana kupoteza pesa na Arsene Wenger ndio anaonekana amesajili mchezaji anaendana na thamani halisi ya fedha zilizolipwa kwa mchezaji husika,ndio maana ManUtd,Tottenham pamoja na kusajili wanaonekana hawakufanya kitu kikubwa kama Arsenal kwa Ozil,angalia mwenyewe watu wanauliza Real Madrid wanafikiria nini kumuachia mchezaji kama Ozil kwa ajili ya Gareth Bale ?
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Wewe ndiye mfano halisi wa mshabiki wa Arsenal wenye majibu kama yale pale juu!!
Ila kumbuka kitu kimoja; hii ni EPL, siyo La Liga. Msije mkatafuta mchawi baadaye! Msifikiri, Ozil atapiga pasi zake nyingi ndani ya EPL; yenye wachezaji wenye roho ngumu kama Shawncross.
Ozil ni ozil...it doesn't matter the nature of the legue nor the competitors....giroud atang'aa van persie tumwite shombo