SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,944
- 2,030
Sisukumwi na weusi wangu tii nilionao ...ila nashangaa kumuona MTU alopata kura nyingi toka Kwa weusi ili awaongoze Leo akidiriki kwenda upande mwengine kuwakingia kifua weupe walofanya upuuzi.kweli simuungi mkono amenikosea sana anatakiwa angekaa kimya kuliko kwenda kuzitia nguvu familia za wauaji waloua waafrika wenzie Kwa makusudi.