Ukiingia na mawazo ya kuwa ipo siku mtaachana basi mtaachana. Ila tuliomo ndoani tutapambana mpaka mwisho nadhani mwisho utakua mzuri kama mwanzo hivyo vya katikati na vya muda tuu.
Mkuu,namaanisha kuwa na Mwanamke kimahusiano na nikawa sina mpango wa kumuoa ila tukakubariana anizalie Watoto(tuzae Watoto watatu),na kisha nitimize jukumu la kuwalea kama Baba,baadaye wakifika umri wa Kiserikali niwachukue moja kwa moja