Naunga mkono hojaKwa Jinsi Ninavyoona watu wanavyoleta Nyuzi za wake zao wanavyozingua naona huu mkondo utamfuata kila mtu!
Nilikuwa na Mzuka wa Kuja kumuoa Mwanamke wangu Kipenzi ila daah kwa Hii Hali Bado, eti uoe ghafla after two years mnaachana afu labda mna mtoto/watoto .... si Mwanzo wa kuyumba Huo?
Aaah Mimi Kuoa Hapana!
kama hautaoa basi wewe ni punga, nenda kaolewe mkuu.Kwa Jinsi Ninavyoona watu wanavyoleta Nyuzi za wake zao wanavyozingua naona huu mkondo utamfuata kila mtu!
Nilikuwa na Mzuka wa Kuja kumuoa Mwanamke wangu Kipenzi ila daah kwa Hii Hali Bado, eti uoe ghafla after two years mnaachana afu labda mna mtoto/watoto .... si Mwanzo wa kuyumba Huo?
Aaah Mimi Kuoa Hapana!
Mbona za wanaume kuzingua ni nyingi mno pia?Daah Hii hali sio kila siku nyuzi za mke kuzingua!
kwa maneno yako tu hayo unaonekana wewe unapumuliwa. mwanaume halisi hawezi kuogopa kuoa. endelea kuvaa skin tight na shumizi mkuu.mlete Babako nimtie afu ujue mimi sio Punga!
Kwahiyo unamaanisha chai ndo nyingi mno?Sio kila story inayoisikia humu au vijiweni kuhusu wanawake ni kweli....ndoa ni pande mbili ziishi kwa kutegemeana...kuna vitu vingi...and you can make your wife different from those rumoured about!
mlete mamako na wewe pia uje inaonekana Bora Babako Angekmwaga Kwenye Condom Kuliko Kuwa na Mtoto ka wewekwa maneno yako tu hayo unaonekana wewe unapumuliwa. mwanaume halisi hawezi kuogopa kuoa. endelea kuvaa skin tight na shumizi mkuu.