MTAZAMO: Mauaji yanayoendelea Pwani yasitangazwe

Ni kweli kabisa kutangaza habari hii co kwani mnawapa hawa jamaa kuendelea kusumbua na kutafuta umaarufu kupitia uharifu huo nami napenda mambo yaende kimya kimya hapo wataona kama wamepuuzwa na wataachana na unyama wao
 
Walee hawaui watuu ili watangazwe kwenye Vyombo vya habarii..!! Kaa ukijua hilo.. Kuna kituu kikubwa sanaa juu ya yale mauaji... Serikali inabidi isimame kweli maana.. Ni balaa
 
Ushauri wa aina hii ukizingatiwa tutakuwa taifa la ajabu sana. kumbuka ili vyombo vya ulinzi na usalama vitekeleze majukumu yao kwa ufanisi ni lazima wawe wanatoa taarifa (makatazo na maelekezo) kwa wananchi ili wasije wakaingia eneo la mapambono. lakini pia watanzania wana haki ya kujua kinachoendelea eneo hilo. vinginevyo hata wewe usingejua kinachotokea mataifa mengine
 
Ndivyo walivyokuambia?
 
Kwa mini watangaze hill ni janga Kwa wananchi na nilazima ijulikane kama nilikuwa na mpango Wa kwenda huko niache kabisa kwani naweza uwawa huko Kwa sababu mm si mkazi Wa huko naweza kutolewa kafara Kwa sababu hawanijui,cha msingi maafisa Wa usalama Wa taasisi zote waende site wakafanye kazi waonyeshe kuwa kweli ni maafisa usalama vinginevyo taifa halitakuwa salama!
 
Ushauri wa aina hii ukizingatiwa tutakuwa taifa la ajabu sana. kumbuka ili vyombo vya ulinzi na usalama vitekeleze majukumu yao kwa ufanisi ni lazima wawe wanatoa taarifa (makatazo na maelekezo) kwa wananchi ili wasije wakaingia eneo la mapambono. lakini pia watanzania wana haki ya kujua kinachoendelea eneo hilo. vinginevyo hata wewe usingejua kinachotokea mataifa mengine
Una takwimu za watanzania waliokufa kwenye vita ya Tanzania na Uganda au Comoro?.Kutokujua kwako kumekuathiri nini wewe raia?
 
Moja kati ya post ya kijinga zaidi. Mambo mengi maovu yapo siyo kwa sababu ya uwepo wa watu waovu bali UKIMYA wa watu wema.
 
Mficha Maradhi Mauti Humuumbua
Mambo Yatangazwe Wazi Wazi
Huko Dunia Tunayajua Yao Sasa
 
Kuendelea kutangazwa unyama unaofanyika Kibiti na Rufiji,ni kuendelea kuwapa kichwa na umaarufu makatili hao.

Pia ni kuwatisha wakazi na hata wageni wanaofanya shughuli zao huko pwani,na inaleta athari kwa watalii,hii ni kutokana na vyombo vya habari vya kimataifa kuanza kufuatilia na kuandika mauaji haya,ambapo inawatisha na kuona Tanzania hakuna Usalama na si mahali pa kufanyia utalii.
Mheshimiwa Rais,piga marufuku kama ulivyozuia utangazaji wa mapigano ya wafugaji na wakulima Kilosa,na imesaidia kutolikuza jambo hilo.

Hakuna athari yoyote kwa jambo hili kutotangazwa,sanasana ni kuendelea kuvipa vyombo vya habari vya ndani na nje, ambavyo vimezoea kuandika mabaya kuzihusu nchi za Africa.

Kwa hali ilivyo,hii ni kama vita.ambapo mbinu moja wapo ni kuzuia adui yako kupata taarifa zako.

Ni jukumu la vyombo vya Usalama kuendelea na juhudi za kuwatafuta na kuwaangamiza maadui hawa wa Taifa Kimyakimya.
Ushauri gani huu kweli kama rais atakuwa anamsikiliza kila mtu ana kazi kubwa
 
Hay

Wewe ndio waleLe
Mlisema bunge lisiwe live
 
Unataka watu wauwane kimyakimya dah hapana ngoja tujue ili watanzania wajua ninichakufanya
 
Taarifa kwa wananchi zinasaidia mambo mengi:

-Kuchukua tahadhari
-Kutoa ushauri kwa serikali
-Kuombea amani
-n.k.
 
Mleta mada ni shetani pumbav yako wakuue wewe ndo ukae kimya fisi maji weye! Ngoja babako wamtoe roho alafu ole udondoshe chozi! Nahisi wewe ni poison maker na lazima UTAKUWA KADA WA CCM maana ndio roho zenu zilivyo
 
Back
Top Bottom