Nchi ishauzwa hii! Tembea mwendo wa fedha! Msomi hana thamani kabisa katika Kanaani hii. Wathamani kwao ni Wanasiasa waliopo madarakani, familia na washarika wao. Je wewe, Mimi na Yule tunaletu lipi? Ndo maana hata Wataaluma na Wataalamu waliosomeshwa kwa kodi, Maziwa na Asali ya Kaanani yetu ni WATUMWA, WAHANGA NA YATIMA. wa viongozi wa Nchii. Inauma, inakera na inatia husira zaidi ya kusimulia. Chukua hatua stahili katika nafasi uliopo!