Mtazamo hasi dhidi ya fani ya ualimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtazamo hasi dhidi ya fani ya ualimu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by masonda isdory, Mar 29, 2011.

 1. m

  masonda isdory New Member

  #1
  Mar 29, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa miaka mingi sasa fani ya ualimu imeonekana kuwa ni ya watu waliopata daraja la chini. Mnaionaje hii wadau?
   
 2. mdeki

  mdeki JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 3,302
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  kuna ukweli kidogo lakini si wote wanaosoma ualimu walipata daraja la chini, nakushauri fanya utafiti kwanza kabla hujaleta upupu wako hapa
   
 3. s

  sugi JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  unaposema ualimu,unakuwa too general,kuna chembechembe za ukweli,maana ili uwe mwl wa primary school unahitaji kupata kuanzia div iv ya pt 28 tu,kuna walimu wa sekondari o level ambao wao wana at least principals mbili kwa masomo ya a level,pia wapo walimu wa A level ambao hawa ni gradutes,wana criteria(perfomance)kama waandisi,lawyers,wahasibu etc.wameamua tu kusomea ualimu kwa sababu mbalimbali,kwa hiyo c walimu wote wana madaraja ya chini,ila kwa primary ni kweli wengi hawakufanya vzr,japo wapo wanaojiendeleza siku hizi,wanafikia hatua hata ya kuwa ma prof.nna mifano mingi tu!
   
 4. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Unahitaji kufanya utafiti kwanza mkuu! Wanaofundisha vyuo vikuu (maprofesa) unawaweka kundi gani!
   
 5. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hao ni wahadhiri sio waalimu. Ualimu unasomewa, uhadhiri hausomewi........
   
 6. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Umesema vizuri, but mwisho wa siku ualimu kwa Tanzania ni last resort.......
   
 7. d

  desenkoi Member

  #7
  Apr 5, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  BAED na BED tofautizao nini?
   
 8. s

  sugi JF-Expert Member

  #8
  Apr 10, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  BAED ni bachelor of arts in education,wanaosoma course hii wanasoma masomo mawili ya kufundishia kama kiswahili na geograph labda,na masomo ya education kiasi,lakini BED,ni bachelor of education,hii inaweza kuwa BED science ou BED arts,wasomi wa kozi hii wanasoma somo moja la kufundishia,na dozi kubwa ya masomo ya education
   
 9. Ngomo

  Ngomo Senior Member

  #9
  Apr 11, 2011
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 199
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  tatizo hapa sio kwa walimu tu pekee yake kila fani ina matatizo. watu wanapenda kusoma fani ambazo zinaunafuu kidogo kimaslahi baada ya kumaliza masomo. kama maslahi ya walimu yangekuwa mazuri basi kila mtu angependa kusomea aualimu na htimaye wle wenye pass za juu tu wangejoin huko
   
Loading...