Mtazamo binafsi: Wasichana wengi waliomaliza vyuo vikuu ni mizigo na hawafai kuolewa!

Ukipata binti msomi muelewa means hutochoka maisha
 
Vijana wa siku hizi waoga. Sasa mfano...
Jamaa mwenye demu anaye tarajia kumuoa
Afisa wa Jeshi (JWTZ) alafu yy raia wa kawaida.
Huyu unamshauri vipi.
 
Kwani hizi ndoa zinazo vunjika kila siku ni za wanawake walio soma au wake za watu wanao chepuka ni ambao wamesoma tusikariri tena bora hata alie soma anakua anajielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…