Mtaweza FUMBO?

Selekta

Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
24
Reaction score
9
Uhai wangu hulingana na umbo langu, na huo uhai wangu wenyewe hutegemea
uhai wa mtu mwengine, mimi nani?...nipe jibu!
 
Wewe ni selekta. Haya nipe zawadi yangu.
 
Huku tukisubiri jibu toka kwa selekta kuna kingine hiki nilikiona katika hadithi flani: ni mnyama gani asubuhi anatembelea miguu minne, mchana miwili na usiku mitatu?
 
Binadamu....akiwa mtoto anatambaa...akiwa kijana anatembea....akiwa mzee anatumia fimbo!!
 
Jibu ni...Ah..Ni...Ahh..Nimesahau kidogo nitarudi baadaye
 
Uhai wangu hulingana na umbo langu, na huo uhai wangu wenyewe hutegemea
uhai wa mtu mwengine, mimi nani?...nipe jibu!
Rahisi kuliko maelezo!
Wewe ni CUF: Uhai wako unategemea itikadi zako za udini, na uhai wako wenyewe hutegemea uhai wa CCM, aha ha ha ha easy!
 
Hii kali kuliko zote kwa siku ya leo
 
Simple! Wewe ni kigeugeu... Kwann uhai wako utegemee maisha ya wengine?
 
Huku tukisubiri jibu toka kwa selekta kuna kingine hiki nilikiona katika hadithi flani: ni mnyama gani asubuhi anatembelea miguu minne, mchana miwili na usiku mitatu?

tehe tehe tehe MWANAUMEEEEEE!
 
Ni binadamu,utotoni anatambaa kwa mikono na miguu,utu uzimani anatembea kwa miguu miwili na uzeeni anaongezea mkongoja

Huku tukisubiri jibu toka kwa selekta kuna kingine hiki nilikiona katika hadithi flani: ni mnyama gani asubuhi anatembelea miguu minne, mchana miwili na usiku mitatu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…