Hakika kamanda Julius Mtatiro umenena..!!! Hata wewe ungekuwa MBUNGE WA SEGEREA... tena ungeshinda kwa KIWANGO KIKUBWA SANA SANA...!!ni huyo dada wa CHADEMA kaharibu...tunamlaani sana sana... maana UKAWA walisema ni wewe uwe SEGEREA.. roho inaniuma sana sanaaa..ila mwaka 2020 Mtatiro Segerea ni yako...!!! 100%...!!
Kikubwa, ni UKAWA kujengwa zaidi sasa.... muongeze USHIRIKIANO MNO MNOOOO...!!! USHIRIKA WA UKAWA uwe ndio nguzo zenu kuu...!!!
Pia, CUF, jimbo la UTETE mmeshinda kata karibu zote za UTETE...naamini watatangaza mbunge wa CUF...!!!
Pia, naamini... MBAGALA, KINONDONI, TEMEKE, haya majimbo yote ya Dar yataenda CUF...!!! Sbb madiwani kata 95% ni wa CUF ktk majimbo hayo... so ushindi MKUBWA SANA SANAAA KWA CUF...!!!
So, UKAWA ndio mkombozi...!!!
Kamanda Mtatiro, Mungu akulinde...jichunge na maadui wakuu CCM...!!!
Mungu akulinde...!!!