Mtatiro Julius apata ajali mbaya Morogoro

Pole Sana kamanda Mtatiro namwomba Mungu Akuponye mapema ili Uendeleze Mapambano Dhidi ya hawa Wala Nchi
 

kwenye bold hapo, think n have your facts before you write.
 
Alitoka kueneza fitina zake lgunga. Wazee wa lgunga aliwaaga? Isije kuwa kafara. Pole zake bana, ila si mpambanaji wala kamanda ni mnafika!
Wewe ndiyo Debe tupu kabisa! Watu tunajadili hii ajali kapata binadamu mwezetu wewe unaleta mada zingine za kipuuzi!
 
Ukweli ni kwamba, Mtatiro kapata ajali umbali wa kilomita 15 kabla ya kuingia mjini Morogoro wakati akitokea Igunga na ajali imetokea saa 11 unusu. Hata hivyo Mtatiro yuko salama na amepata majeraha kidogo. Huu ndio Ukweli wa tukio hilo wakubwa!

Still anatakiwa akimbizwe kwenye proper medical center na afanyiwe uchunguzi wa kina... kuna case nyingi tu za watu wanaotoka seemingly wazima kwenye such accidents, kucollapse na kufa ghafla in the next few days.
 
Pole sana kwa Julius mtatiro na wote waliopatawa na ajali hiyo.Mungu ni mkubwa na inshalah atawaponya.
 
Pole kamredi Mtatiro. Mungu atakusaidia upone haraka ww na hao jamaa uliokua nao.
 
Nawapa pole sana wote waliopata ajali Mungu awajalie afya wapone haraka amina
 
thanx mdau,ALLAH atamuafu julius MTATIRO
 
kwenye bold hapo, think n have your facts before you write.
I had my facts thats y I specificaly directed that 2 MTM. Kama umesoma comments zake utagundua kabisa hao wana familia hawakuwa na taarifa yoyote, nae akaanza kumpa lawama mleta mada, jambo la busara ilikuwa ni kuthibitisha taarifa kwanza kabla ya kutoa lawama kwa mtu ambae it turned out kwamba amewasaidia kupata taarifa ya 'mwanafamilia' taarifa ambazo hawakuwa nazo kabisa.

Unless u hv smthing else on my comment, those r the facts.
 
Get well soon brother. Mungu awaponye tuendelee kulizungusha gurudumu la kuikomboa Tanzania kutoka kwa wakoloni weusi.
 
poleli nyote mliokuwemo ndani ya gari husika.na ninawatakia afya njema.
 

At least umenipa relief manake vidole vilikuwa vinatetemeka kila niposonga page moja baada ya nyingine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…