Mtatiro J, haya matusi sasa....

Dah...watu kweli wamechokaa...
 
.....unabii huu karibu utafikia 99%

-Domhome-
 
Itakuwa kweli maana gia zinabadilishwa angani watu wapo kimya tuuu alipotokea mmoja akapinga akaitwa msaliti
 
Nani aliwahi kuthibitisha au anathibitisha kuwepo kwa utani huo kati ya hao marais wawili?
 
Mtatiro yupo kama mtoto Ana hoja za kitotoo ndio mana daily anashinda fb wakati professor anaendelea kuteua watu yeye kaufyataa kimyaaa kama Babu aliegombea na lowasa
 
Actually CCM haijawahi kufanya Uchaguzi halali tangu historia ianze ya Multiparty
Huo wanaouita ni ushindi umekua ujambazi. Na pale waliposhindwa, ni kwamba ni anguko.

Ma-key actors wanaudhohofisha uchaguzi wa huru na haki ni pamoja na:-

Wakurugenzi wote wa Halmashauri nchini ni ma-puppets wa CCM wanaotumiwa kuhakikisha CCM haipotezi kwenye katanna vijiji.

Wakuu wa mikoa na wilaya

Jeshi la Polisi nchini.
Tume ya uchaguzi.


Haiingii akilini, tume yao, Kanuni watunge wao kisha waanguke!!.
cCM wemefeli kila kitu kihistoria.
Ndio wanufaika wa ujinga wa watanzania wengi nchini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23]

BANNED
 
Huo ni kweli kabisa japo inabidi ujue fasihi kupata maana ilokusudiwa hapo kwa neno maiti
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23]

BANNED
Mark my words:-
Hawa wanaoitwa Wakurugenzi wahalmashauri na mikoa.
Ndio vibaraka wakubwa.
Miaka ile CCM inapoteza Jimbo la arusha mjini. Yule mkurugenzi aliondolewa kwa kushindwa kufanya figisufigisu za ki-uchaguzi na sehemu mbalimbali wamekua wakiadhibiwa hivyo ikiwa hawatatimiza malengo ya waajiri wao ambao ni CCM.

mtoto wa mkulima, alikua anapendelea kuuliza ikiwa tunakupa eneo unalipoteza unataka tukupe nini tena.?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1]
 
Hiyo inamaanisha Mtatiro ni maiti anaetembea. Mtu yeyote anae jidharau ni mpuuzi na hatofanya makubwa kama kukamata uongozi wa nchi. Anajilaani mwenyewe.
 

Akiongea mwalimu na jomo ni utani . Mtatiro wa chadema akiwaquote ni matusi 😵😵

kweli tanzania ya vi wonder
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…