Mtatiro J, haya matusi sasa....

Mtatiro J, haya matusi sasa....

Actually CCM haijawahi kufanya Uchaguzi halali tangu historia ianze ya Multiparty
Huo wanaouita ni ushindi umekua ujambazi. Na pale waliposhindwa, ni kwamba ni anguko.

Ma-key actors wanaudhohofisha uchaguzi wa huru na haki ni pamoja na:-

Wakurugenzi wote wa Halmashauri nchini ni ma-puppets wa CCM wanaotumiwa kuhakikisha CCM haipotezi kwenye katanna vijiji.

Wakuu wa mikoa na wilaya

Jeshi la Polisi nchini.
Tume ya uchaguzi.

Haiingii akilini, tume yao, Kanuni watunge wao kisha waanguke!!.
cCM wemefeli kila kitu kihistoria.
Ndio wanufaika wa ujinga wa watanzania wengi nchini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vp Chadema ambayo mwenyekiti hana ukomo na haojiwi popote??????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tehe tehe tehe **** naona kuna ka ukweli hapo tehe tehe tehe
 
Mtatiro ameshapoteza umakini tokea alipopoteza nafasi feki ya mwenyekiti wa kamati ya uongozi ya cuf
 
Vp Chadema ambayo mwenyekiti hana ukomo na haojiwi popote??????

Sent using Jamii Forums mobile app

Sina Hakika kama CDM inafaa kulinganishwa na CCM at any level.

Sijawahi kusikia kua hakuna ukomo wa Mbowe na kwamba hauojiwi chochote.

Labda usemacho ni conspiracy tu. Hakuna ushahidi wowote.unless uje na proof.

Ninachokiona kwa cdm ni kua Wako watu wengi sana wanaifuata CDM kwasababu ya Mh. Mbowe.

Wako wanachama waliifuata Cdm kwasababu y Dr. Wilbroad Slaa.

The same to Mh. Edward Lowasa.

Kulingana na hili, ikitokea umewapora madaraka hawa ma iconic leaders, unaweza kukifanya chama kiwe unpopular.

This also applies to ACT-Wazalendo ambapo watu wako pale kwasababu ya mh.Zitto Kabwe.
Once utakapo mng'oa pale, na ACT haitakua na umuhimu wowote mbele ya jamii.

Indicator kubwa ninayoweza kuitumia ni kua watu hawa wakihama chama wanaenda moja kwa moja kua viongozi, kwasababu wanao utajiri wa wafuasi na mvuto.
Majina yao ni Brand tosha.

Sasa hapa utasema sio demokrasia lakini demokrasia isio strategically haina mashiko.
Ikiwa utamuweka mtu ili mradi umemuweka madhara yake ni kua anaweza kufanya chama kisisikike tena.
Sababu kama hizi ndizo zinapelekea wanasiasa kama Maalim Seif, Lipumba kuendelea kubaki siasani.

Huu utamaduni ulikuwepo tangu zama za Agustine Lyatonga Mrema alipokua yupo HoT!! ambaye alikua akihama chama na lundo la wafuasi.

Hata hivyo kwa cdm yapo mazingira kua kuna wanasiasa walikuzwa na chama mfano zitto kabwe. Kama njia endelevu ya kuibua mawazo mapya.

Pole!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ndio Ukweli.

Na ikitokea kwa mfano cdm inataka kumfukuza lets say Tundu lisu, utaona CCM wanaingiza Pua zao pale kukinukisha. Wakijidai kumsifu Tundu lisu ambaye sasa wanamchukia.

Pia kuingiza ukabila , udini ili tu kuidhohofisha cdm.
Don't forget wwlifanya hivyo kwa Zito.

Umeona pale kwa cuf jinsi CCM walivyomuingiza Lipumba kuwasha moto ndani ya cuf.
Wametumia polisi, vijana wa vurugu kupiga wanachama wanaomuunga mkono Maalim ,na mahakama na msajili wa vyama na Bunge la jamhuri ili kuiua CUF. Taasisi hizi zinatumia Kodi za wananchi kuwahujumu wananchi haohao.

Kuna siku jpm aipoenda kuisubiri bombardier pale airport aliwadhihaki CUF kua anasikia wanavurugu.

So kama una akili timamu, hujashikiwa akili. Utajua kua Tume ya Tanzania sio Huru,
Uchaguzi unafanyika unfairly.

CCM ndio mafisadi na wezi wa mali za umma. Na chanzo kikuu cha umasikini wa watanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli JF ni vijana wadogo wengi na tatizo hawajui hitoria ya hawa viongozi. Haya maneno ni kweli kuna wakati wa uongozi wao walihitilafiana ndo wakatoleana haya mapovu.
Mkuu,JF ni kwa ajili ya maajuza tu?
 
Me nimemuelewa Jomo, namalizia
Kayaandika haya kwenye Fesibuku...
"Kuna ule utani wa zamani wa Nyerere na Jomo Kenyatta.
Mwalimu alimwambia Jomo '...unaongoza watu waliolala'
Jomo akamjibu...'wewe unaongoza maiti"

[HASHTAG]#Hata[/HASHTAG] kama ni kuelezea hisia juu ya tukio fulani,si kwa matusi kama haya....
Nime

Nimemuelewa mzee Jomo, waiter naomba castle shingo yamwisho
 
Back
Top Bottom