UDSM Alumni
JF-Expert Member
- Jan 25, 2015
- 2,555
- 1,389
Duh afu kuzimu ndo dodoma
hatariBasi tuache wafu wazikane
.....unabii huu karibu utafikia 99%Kayaandika haya kwenye Fesibuku...
"Kuna ule utani wa zamani wa Nyerere na Jomo Kenyatta.
Mwalimu alimwambia Jomo '...unaongoza watu waliolala'
Jomo akamjibu...'wewe unaongoza maiti"
[HASHTAG]#Hata[/HASHTAG] kama ni kuelezea hisia juu ya tukio fulani,si kwa matusi kama haya....
Actually CCM haijawahi kufanya Uchaguzi halali tangu historia ianze ya Multiparty
Huo wanaouita ni ushindi umekua ujambazi. Na pale waliposhindwa, ni kwamba ni anguko.
Haiingii akilini, tume yao, Kanuni watunge wao kisha waanguke!!.
cCM wemefeli kila kitu kihistoria.
Ndio wanufaika wa ujinga wa watanzania wengi nchini.
Sent using Jamii Forums mobile app




Ila nchi walizoziongoza bado zipo, zina watu na viongozi piaLakini si wote hawapo?
Mark my words:-
BANNED
Mark my words:-
Hawa wanaoitwa Wakurugenzi wahalmashauri na mikoa.
Ndio vibaraka wakubwa.
Miaka ile CCM inapoteza Jimbo la arusha mjini. Yule mkurugenzi aliondolewa kwa kushindwa kufanya figisufigisu za ki-uchaguzi na sehemu mbalimbali wamekua wakiadhibiwa hivyo ikiwa hawatatimiza malengo ya waajiri wao ambao ni CCM.
mtoto wa mkulima, alikua anapendelea kuuliza ikiwa tunakupa eneo unalipoteza unataka tukupe nini tena.?
Sent using Jamii Forums mobile app

Kayaandika haya kwenye Fesibuku...
"Kuna ule utani wa zamani wa Nyerere na Jomo Kenyatta.
Mwalimu alimwambia Jomo '...unaongoza watu waliolala'
Jomo akamjibu...'wewe unaongoza maiti"
[HASHTAG]#Hata[/HASHTAG] kama ni kuelezea hisia juu ya tukio fulani,si kwa matusi kama haya....