Mananeo haya yamesemwa na Naibu Katibu mkuu CUF-Tanzania bara, ndugu Julius Mtatiro wakati akihojiwa na TBC1 kwenye viwanja vya halmashauri ya Igunga mara baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wa mbunge katika jimbo hilo ambapo mgombea wa CCM alitangazwa kuwa mshindi!
wana chadema je mna utetezi wowote kuhusu tuhuma hizo?
mwehu huyu. Bangi alizovuta UDSM zitamuisha baada ya miaka 19
Mananeo haya yamesemwa na Naibu Katibu mkuu CUF-Tanzania bara, ndugu Julius Mtatiro wakati akihojiwa na TBC1 kwenye viwanja vya halmashauri ya Igunga mara baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wa mbunge katika jimbo hilo ambapo mgombea wa CCM alitangazwa kuwa mshindi!
wana chadema je mna utetezi wowote kuhusu tuhuma hizo?
Na bila kusahau alisema Chadema wamekwenda Igunga kugawa kura za Kafu hivyo chadema wataambulia kuwa mshindi wa tatu!Muacheni atulie kidogo wakuu..mtaji wao wa kura 10 elfu umeyeyuka,kuungwa mkono na mashehe akujasaidia unadhani kwanini asichanganyikiwe? Mpeni muda atakanusha mwenyewe...Msameheni bure wana-CDM...
Mananeo haya yamesemwa na Naibu Katibu mkuu CUF-Tanzania bara, ndugu Julius Mtatiro wakati akihojiwa na TBC1 kwenye viwanja vya halmashauri ya Igunga mara baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wa mbunge katika jimbo hilo ambapo mgombea wa CCM alitangazwa kuwa mshindi!
wana chadema je mna utetezi wowote kuhusu tuhuma hizo?
CUF ipo hoi kwa sasa, hawana jipya baada ya kujiunga na Mafisadi