Mtatiro aumbuka

akili ya nyakarungu ni ndogo sana yaani mda wote unafikiri usipo ajiliwa basi huna future? watu kama nyie mombasa hamponi.
 

We kiroboto umesema mtatiro kaumbuka,ni wapi alipoumbuka na nani kamuuumbua
 
I doubt if the writer properly understands the word unprofessional. However what he has written spells out the kind of sperson he or she is
 
Mtatiro hajawahi kugombe cheo chochote cha Kisiasa tangu katoka Tumboni kwa Mama yake akashinda lakini John Magufuli hajawahi kugombea Cheo chochote cha kisiasa akashindwa tangu kazaliwa lakini Mshindwa anamwita Mshindaji ni Unproffesion, labda Profession yenyewe ni kule kushindwa.
Bila ya Kustiriwa na Lipumba nani angekajua haka Katoto!?
 
Kushindwa katika eneo lolote haimaanishi uko poor na kushinda haimaanishi uko smart, ni suala la upepo kukuvumia kunakoweza kukusaidia au kukushusha, mtu kukosolewa haimaanishi hawez kila kitu, yapo mambo anayoyafanya kwa ufanisi mkubwa ilhali yapo mengine anayoshindwa kabisa. Wapo watu walioshindwa katika "carrier" zao mara nyingi lakini wakaja kufanikiwa na kule kushindwa kwao ikabakia historia tu.
 
miahaka hii mitano kama nilivyosema utaisha kwa kusikia na kuona mambo mengi ya ajabu
 
Kuna vitu vingine mtu uko unasoma na unashindwa kuelewa alieandika anafikiri kwa kutumia nini..

Hivi unaweza kutumia matatizo ya mtu mmoja kuhalalisha matatizo ya mwingine??

Hivi unashindwa kutambua kuwa kauli ya mkuu wa nchi inagusa maisha ya kila aliye ndani ya nchi??
 
Nafuu ya watz ni Magufuli kwasasa hata akikosea anasameheka
We mwongo,,magfl watu hawampendi,,ccm wanawalazimisha wananchi tu kwa kupitia maigizo ya vyombo vya hbr kila wakat lkn ukweli ni kwamba hapendeki ppt pale labda kwa wehu km nyakururu
 
NYAKURURU KASOMEA UALIMU HAPO DUCE NA NDIO WANAOSUBIRIA AJIRA,YUKO MTAANI ANA NJAA KALI ANAISOMA NAMBA NDIO MAANA ANAJIPENDEKEZA
 
Ukaamua na kufungua na id mpya kabisa, shame on you
 
Hii ni post yako ya sita hapa JF, mtu akisoma post zako tano za nyuma atajua tuu kuwa umejiunga JF kwa makusudio gani. Sasa tambua hili sio jukwaa la unafiki na majungu.
Achana nae ataishiwa punzi tu..!!

Kuna watu walikuwepo zaidi yake na leo hii hawajulikani walipo ndio ije iwe yeye.
 
mleta mada we bure kabisa, unataka kila mtu asifie watawala?. huo ni mtizamo wake mtatiro. jadili hoja yake badala ya ajira. si lazima kuajiriwa, na isitoshe wenye mambo mazuri ni wale wasio tumikia mabosi ila wanadeal na clients. endelea kulamba miguu ya watawala mpk uote fungus mdomoni.
 
Upinzani wanashangalia kila jambo la chuki linalo fanywa na upinzani... Hawajui kitendo cha Maalim kukataa kumpa mkono Shein.. Na mtatiro alipongeza...
Kama mkono Una harufu ya damu na wewe RAIA mwema ukiushika ujue utakuwa matatani
 
Kuna dada mmoja kajitambulisha kama mkurya wa kwanza kuimba taarabu, Kama hili jina sio yale ya wenye vyeti feki, basi wewe utakuwa mkurya wa pili kuimba taarabu! Hakuna mkurya tena mwanaume mwoga na mwenye maneno ya kike kama wewe Mura.
 
Mtatiro akiajiliwa ndio nini? Kuna watu kama akina Dewji hawajaajiliwa hata siku moja lakini wanaishi maisha safui kuliko wewe uliyeajiliwa na kusubiri hako ka posho kako ka mwisho wa mwezi
 
Naona baada ya kujikomba komba kwa mhishimiwa umeweka na email yako kabisa ili akutafute kukupa nafasi ya yule DED ambaye hajaripoti kazini mpaka sasa! Daah kweli ajira ngumu.
Hahahaa
 
sasa ameumbuka vipi hapa? Mwanasiasa lazma afanye kazi yake ya kisiasa
 
Pamoja na ujinga mwingi ambao uyo jamaa kaandika,kusema Mtatiro hajawahi kuajiriwa,kumaliza Chuo c mpk uajiriwe unaweza kujiajiri,kwani anaishije? Utakuwa umetumwa na Lipumba nyumbu ww.
 
Pale unapokariri na kuwa mtumwa wa kuajiriwa. Endelea kusubir ajira ,wenzako wana miradi inawaingizia pesa.. Shame on u


Kwa akili yako fupi kile alichokiengea mkuu wa nchi ni sahihi.. Acha upuuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…