Mtatiro aumbuka

Mnataka kubembelezezwa bembelezwa? Magufuli atawanyoosha tu na bado
 
Mimi wasiwasi wangu ni pale inapotokea watu wenye ufahamu finyu kama huyu mleta mada, wanapoteuliwa katika nafasi hizi za uteuzi.
 
We ni nani hata uyajue sana mambo ya mtatiro?au ndo wale wa kujiuzuru na kujirudisha kwa nguvu tumia akili kisha toa mawazo ndo uchangie yaliyo bora
 
Mleta mada ume attack personalities na sio issues
 
Kwa iyo wewe umeipenda ile hotuba MUNGU anatuagiza kusameana
 
Raisi wetu ni bora na ataendelea kuwa bora wala hafanywi bora kwa washauri uchwara kwa sababu yeye tayari ni bora.
Hujitambui wala hufahamu kinachozungumzwa. Kwa nini unajaza server bila sababu ya maana?
 
Siyo sahihi kufanya malinganisho kati ya watu wasiolingana kwa nafasi zao
 
Hii makala si ungelimpelekea Profesa akaijumuisha kwenye machapisho yake au wapelekea uhuru badala ya jf!
 

Chini ya Maalim atatimuliwa tu.. Muda utaongea
 
Mmmh mimi siingilii mana hii ni vita ya watu wa Mara mura, Mtatiro mtoto wa kiabakali Musoma vs Mwita Nyarukururu
 
Mtatitiro amedhamiria kutunusuru watanzania, kwa maana dereva wetu wa mwendokasi ameamua kuitia gari mtaroni. Yaani hata ningepewa mimi kuongoza kaya hii nisingetenda kama atendavyo huyu m'baba. Hatufai, ptuuuuu!
 
Mleta mada nahisi ni kambi ya prof aliyekana matapishi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…