Mtatiro aumbuka

Mtatiro aumbuka

NYARUKURURU

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2016
Posts
349
Reaction score
199
Ndugu zangu watanzania ninaandika makala hii kwa masikitiko makubwa juu ya kaka yangu na ndugu yangu Mtatiro, sijui kalogwa na nani? sijui ana stress za nini?, sijui kwasababu ya kukosa kazi?

Nina imani kaka yangu Mtatiro anafanya haya yote kwakukosa kazi, maana nakumbuka tangu amalize chuo hajawahi kuajiliwa sehemu yeyote ile, alipomaliza chuo aliteuliwa kuwa mkurugenzi wa haki za binadamu wa Cuf na baadae kuwa Naibu Katibu mkuu wa Cuf Bara,cheo alichodumu nacho mpaka uchaguzi uliopita ambapo hakuchaguliwa katika cheo chochote kile.

Ndugu msomaji kuanzia muda huo mpaka sasa Mtatiro amekuwa akilandalanda mtaani bila kazi maalumu.

Nimeamua kuandika Maneno haya kwasababu Mtatiro amemkosoa vikali Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.Magufuli kwa speech yake aliyoitoa Pemba, akiita kuwa ni ya Kibaguzi inawagawa Wazanzibari na kumwita Mh,Rais "unprofessional"

Maswali ya kujiuliza hapa kuhusu ndugu Julius Mtatiro ni;
1,Mtatiro amepewa kazi ya kusimamia mkutano mkuu wa Cuf ukamshinda, yeye na Katibu mkuu wa Cuf mh,Seif wakaongeza wajumbe fake na kutofuata katiba ya Chama, mkutano huo ukavurugika wakati pesa za watanzania wanazolipa kodi na Cuf hupewa kama ruzuku zaidi ya milioni 600 zikaliwa bure. Je kati ya Mh,Rais Magufuli na Mtatiro nani hapa ni unprofessional?

2,Mtatiro amegombea Ubunge mara 2, mwaka 2010 kagombea Ubungo,mwaka 2015 kagombea jimbo la Segerea kote kashindwa lakini mh,Rais kagombea mara 4 ubunge na Urais mwaka Jana na zote kashinda, Je kati ya Mh,Dr.Magufuli na Mtatiro nani unprofessional?

3,Mtatiro kama mjumbe wa mkutano mkuu Cuf ameshindwa kumshauri Maalimu Seif na Lipumba waweze kuelewana ili chama kisibomoke, Je Mtatiro ni professional?

4,Mtatiro kashindwa kumshauri Maalimu seif Sharifu agombee Urais Zanzibar na Wabunge na sasa Chama kinakufa Zanzibar kwakukosa ruzuku, Je wewe Julius Mtatiro ni Professional?
5,Maalimu Seif Sharifu amekuwa akitoa kauli za kibaguzi akitaka Zanzibar ijitenge iachane na Muungano na Mtatiro hajawahi kusema chichote. Je kati ya Seif anayetaka Muungano uvunjike na Mh,Rais Magufuli kauli yake aliyoitoa Pemba ya kusema bahati nzuri Shein anatoka Pemba nani mbaguzi?, nani mkabila? nani mroho wa madaraka?

Bila shaka ndugu msomaji utanielewa kwanini nimesema Mtatiro anakimbilia suti kabla ya kuvaa nepi, wewe Mtatiro kwanza ondoa ukabila na urafi wa madaraka ulioko Cuf ndo uanze kukosoa Mh,Rais na kimsingi hakuna kitu alichokosea ispokuwa uroho wako wa madaraka na yawezekana pengine unatafuta ajira kwa Mh,Rais maana mimi ninaamina hauna ajira tangu umalize chuo kikuu Cha Dar.

Ndugu watanzania na wana Cuf wenzangu, naombeni niwambie mtu wa kuogopa kama ukoma Cuf ni Julius Mtatiro na Maalimu Seif Sharif Hamadi ndio wanaoibomoa Cuf kwa urafi wa madaraka, Mtatiro amekuwa akipambana kila namna kuhakikisha anakuwa Naibu Katibu Mkuu Bara na ndo kisa cha kumfukuza Magdalene Sakaya na njia wanaoitumia ni ya Uzanzibar na Ubara, kwasasa wamewagawa wajumbe kwa ukanda kwahiyo kuweni makini wana Cuf.

Zambi ileile anayoitenda Cuf ndo anataka kuileta kwa Rais wa Tanzania kwa kumwita mkabila na unprofessional wakati yeye Mtatiro ndie mwenye makandokando yote haya.

Mtatiro hana ethics za uongozi amekuwa waziri mkuu wa serikali ya wanafunzi UDSM na makamu wa Rais TAHILISO kazi ikamshinda kafukuzwa chuo, sababu kubwa ya kufukuzwa ni kukurupuka.

Ushauri wangu kwa Julius Mtatiro ni kwamba sio kila kauli ya Rais ukosoe ili kupata popularity kwa watanzania,ukosoaji mwingine unajishushia heshima, pia watanzania tunajua muongo na mkweli na kama wewe ni professional ijenge Cuf kwanza, na muelimishe Seif Sharif Hamadi aache ubaguzi na Udikiteta wa kukataza wenzie kugombea na sasa wanakufa njaa wakati yeye analipwa na serikali.

Zaidi ya hayo nikuombe mh,Rais Dr.Magufuli Ukaze kamba, wala usiwasikilize hawa wanaojifanya wakosoaji wakati ya kwao yamewashinda,na tumegundua wengine hawana ajira ni wasakatonge kama huyu Mtatiro.
Imeandaliwa na wenu,
Mwita Nyarukururu
mwitanyarukururu@gmail.com
 
JULIUS MTATIRO USIKIMBILIE KUVAA SUTI KABLA YA KUVAA NEPI. ....
Nimeamua kuandika Maneno haya kwa sababu Mtatiro amemkosoa vikali Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.Magufuli kwa speech yake aliyoitoa Pemba, akiita kuwa ni ya Kibaguzi inawagawa Wazanzibari na kumwita Mh,Rais "unprofessional"
......
Mwita Nyarukururu
mwitanyarukururu@gmail.com
Mtatiro amefanya kile ambacho mtoto mdogo alimwambia mfalme aliyesifiwa kuwa nguo alizovaa zilimpendeza sana.
Anahitajika mtoto kuusema ukweli, wengine wamevaa unafiki.
Mtatiro kwa kumkosoa Rais ametimiza wajibu wake kama raia mwema.Mtatiro kiaina amempa Rais ushauri wa bure. Ni ushauri wa bure kwa rais ambaye anatakiwa kuleta utangamano na kuwaunganisha wananchi.

Kama Rais atatumia busara atakiona kile ambacho Mtatiro anaona Rais kwa kujua au kwa bahati mbaya amekitenda, kuweka petroli pale penye moto tayari.
Wengine ,tumeshauri sana Rais asome hotuba zake na wanaomwandikia hotuba hizo wawe makini. Rais ni rais wa wote hata kama ni rais tuliyepewa na Tume" huru" tu. Asihutubie kama Mwenyekiti wa CCM , ahutubie kama rais kwenye mkutano wa kiserikali. Mikutano ya kichama ameipiga marufuku yeye mwenyewe, asijisahau.

Kwa hili la kumkosoa Rais, Mtatiro yuko juu ya msitari na ametimiza wajibu wake kama raia mwema mwenye mapenzi na uzalendo kwa nchi yake. Mengine ambayo umeyasema juu ya Mtatiro huenda atajitokeza na kujitetea mwenyewe.

Rais pia hukosea na anapokosea ni vizuri akosolewe. Kumsifia tu na Mapambio tu hayatamfanya Rais awe kiongozi bora. Rais avumulie anapokosolewa na akibaini amefanya kosa au ametoa kauli za ukakasi ajitahidi kuchunga ulimi wake au ajirudi. Unapolitamka huwa umelitamka iwe kwa utani au kwa kukusudia.
 
Mwenyekiti mtatiro??Siajwahi kusikia hiki cheo cha mwenyekiti wa muda wa chama cha siasa
 
JULIUS MTATIRO USIKIMBILIE KUVAA SUTI KABLA YA KUVAA NEPI.

Hii ni post yako ya sita hapa JF, mtu akisoma post zako tano za nyuma atajua tuu kuwa umejiunga JF kwa makusudio gani. Sasa tambua hili sio jukwaa la unafiki na majungu.
 
Kwa mlinganisho uliofanya hapo juu,bado Mtatiro ni Professional zaidi.
Rais aendelee tu kutugawa wananchi wake,akijilinganisha na akina Mtatiro,Mbowe na Lowassa!!!
Rais ni cheo kikubwa zaidi,kina hitaji hekima na busara zaidi.
 
Aliyekwambia justification ya performance na capacity ya mtu ni kuajiriwa ni nan? Wewe uliyeajiriwa umemshinda nin? Kiongoz WA nchi lazima ajifunze kuongea kauli zinazounganisha na kuleta umoja katika taifa na sio uchochez na kubagua watu.
 
Mtatiro amefanya kile ambacho mtoto mdogo alimwambia mfalme aliyesifiwa kuwa nguo alizovaa zilimpendeza sana.
Anahitajika mtoto kuusema ukweli, wengine wamevaa unafiki.
Mtatiro kwa kumkosoa Rais ametimiza wajibu wake kama raia mwema.Mtatiro kiaina amempa Rais ushauri wa bure. Ni ushauri wa bure kwa rais ambaye anatakiwa kuleta utangamano na kuwaunganisha wananchi.

Kama Rais atatumia busara atakiona kile ambacho Mtatiro anaona Rais kwa kujua au kwa bahati mbaya amekitenda, kuweka petroli pale penye moto tayari.
Wengine ,tumeshauri sana Rais asome hotuba zake na wanaomwandikia hotuba hizo wawe makini. Rais ni rais wa wote hata kama ni rais tuliyepewa na Tume" huru" tu. Asihutubie kama Mwenyekiti wa CCM , ahutubie kama rais kwenye mkutano wa kiserikali. Mikutano ya kichama ameipiga marufuku yeye mwenyewe, asijisahau.

Kwa hili la kumkosoa Rais, Mtatiro yuko juu ya msitari na ametimiza wajibu wake kama raia mwema mwenye mapenzi na uzalendo kwa nchi yake. Mengine ambayo umeyasema juu ya Mtatiro huenda atajitokeza na kujitetea mwenyewe.

Rais pia hukosea na anapokosea ni vizuri akosolewe. Kumsifia tu na Mapambio tu hayatamfanya Rais awe kiongozi bora. Rais avumulie anapokosolewa na akibaini amefanya kosa au ametoa kauli za ukakasi ajitahidi kuchunga ulimi wake au ajirudi. Unapolitamka huwa umelitamka iwe kwa utani au kwa kukusudia.
Raisi wetu ni bora na ataendelea kuwa bora wala hafanywi bora kwa washauri uchwara kwa sababu yeye tayari ni bora.
 
JULIUS MTATIRO USIKIMBILIE KUVAA SUTI KABLA YA KUVAA NEPI.

Ndugu zangu watanzania ninaandika makala hii kwa masikitiko makubwa juu ya kaka yangu na ndugu yangu Mtatiro, sijui kalogwa na nani? sijui ana stress za nini?, sijui kwasababu ya kukosa kazi?

Nina imani kaka yangu Mtatiro anafanya haya yote kwakukosa kazi, maana nakumbuka tangu amalize chuo hajawahi kuajiliwa sehemu yeyote ile, alipomaliza chuo aliteuliwa kuwa mkurugenzi wa haki za binadamu wa Cuf na baadae kuwa Naibu Katibu mkuu wa Cuf Bara,cheo alichodumu nacho mpaka uchaguzi uliopita ambapo hakuchaguliwa katika cheo chochote kile.

Ndugu msomaji kuanzia muda huo mpaka sasa Mtatiro amekuwa akilandalanda mtaani bila kazi maalumu.

Nimeamua kuandika Maneno haya kwasababu Mtatiro amemkosoa vikali Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.Magufuli kwa speech yake aliyoitoa Pemba, akiita kuwa ni ya Kibaguzi inawagawa Wazanzibari na kumwita Mh,Rais "unprofessional"

Maswali ya kujiuliza hapa kuhusu ndugu Julius Mtatiro ni;
1,Mtatiro amepewa kazi ya kusimamia mkutano mkuu wa Cuf ukamshinda, yeye na Katibu mkuu wa Cuf mh,Seif wakaongeza wajumbe fake na kutofuata katiba ya Chama, mkutano huo ukavurugika wakati pesa za watanzania wanazolipa kodi na Cuf hupewa kama ruzuku zaidi ya milioni 600 zikaliwa bure. Je kati ya Mh,Rais Magufuli na Mtatiro nani hapa ni unprofessional?

2,Mtatiro amegombea Ubunge mara 2, mwaka 2010 kagombea Ubungo,mwaka 2015 kagombea jimbo la Segerea kote kashindwa lakini mh,Rais kagombea mara 4 ubunge na Urais mwaka Jana na zote kashinda, Je kati ya Mh,Dr.Magufuli na Mtatiro nani unprofessional?

3,Mtatiro kama mjumbe wa mkutano mkuu Cuf ameshindwa kumshauri Maalimu Seif na Lipumba waweze kuelewana ili chama kisibomoke, Je Mtatiro ni professional?

4,Mtatiro kashindwa kumshauri Maalimu seif Sharifu agombee Urais Zanzibar na Wabunge na sasa Chama kinakufa Zanzibar kwakukosa ruzuku, Je wewe Julius Mtatiro ni Professional?
5,Maalimu Seif Sharifu amekuwa akitoa kauli za kibaguzi akitaka Zanzibar ijitenge iachane na Muungano na Mtatiro hajawahi kusema chichote. Je kati ya Seif anayetaka Muungano uvunjike na Mh,Rais Magufuli kauli yake aliyoitoa Pemba ya kusema bahati nzuri Shein anatoka Pemba nani mbaguzi?, nani mkabila? nani mroho wa madaraka?

Bila shaka ndugu msomaji utanielewa kwanini nimesema Mtatiro anakimbilia suti kabla ya kuvaa nepi, wewe Mtatiro kwanza ondoa ukabila na urafi wa madaraka ulioko Cuf ndo uanze kukosoa Mh,Rais na kimsingi hakuna kitu alichokosea ispokuwa uroho wako wa madaraka na yawezekana pengine unatafuta ajira kwa Mh,Rais maana mimi ninaamina hauna ajira tangu umalize chuo kikuu Cha Dar.

Ndugu watanzania na wana Cuf wenzangu, naombeni niwambie mtu wa kuogopa kama ukoma Cuf ni Julius Mtatiro na Maalimu Seif Sharif Hamadi ndio wanaoibomoa Cuf kwa urafi wa madaraka, Mtatiro amekuwa akipambana kila namna kuhakikisha anakuwa Naibu Katibu Mkuu Bara na ndo kisa cha kumfukuza Magdalene Sakaya na njia wanaoitumia ni ya Uzanzibar na Ubara, kwasasa wamewagawa wajumbe kwa ukanda kwahiyo kuweni makini wana Cuf.

Zambi ileile anayoitenda Cuf ndo anataka kuileta kwa Rais wa Tanzania kwa kumwita mkabila na unprofessional wakati yeye Mtatiro ndie mwenye makandokando yote haya.

Mtatiro hana ethics za uongozi amekuwa waziri mkuu wa serikali ya wanafunzi UDSM na makamu wa Rais TAHILISO kazi ikamshinda kafukuzwa chuo, sababu kubwa ya kufukuzwa ni kukurupuka.

Ushauri wangu kwa Julius Mtatiro ni kwamba sio kila kauli ya Rais ukosoe ili kupata popularity kwa watanzania,ukosoaji mwingine unajishushia heshima, pia watanzania tunajua muongo na mkweli na kama wewe ni professional ijenge Cuf kwanza, na muelimishe Seif Sharif Hamadi aache ubaguzi na Udikiteta wa kukataza wenzie kugombea na sasa wanakufa njaa wakati yeye analipwa na serikali.

Zaidi ya hayo nikuombe mh,Rais Dr.Magufuli Ukaze kamba, wala usiwasikilize hawa wanaojifanya wakosoaji wakati ya kwao yamewashinda,na tumegundua wengine hawana ajira ni wasakatonge kama huyu Mtatiro.
Imeandaliwa na wenu,
Mwita Nyarukururu
mwitanyarukururu@gmail.com
ivi kwanini watu kama ninyi msinyamaze tuu, kisha unaandika na jina lako kwa upupu kama huu ulio andika.
 
Hivi huyu NYARUKURURU ndiye pia leo alianzisha uzi unaosema Chanzo cha matatizo ya kiuchumi Tanzania ni CHADEMA? Kama ndiye, majibu yangu yanaishia hapa...
0a86ccb9-never-argue-with-a-fool-onlookers-may-not-be-able-to-tell-t.jpg
 
mnafiki mkubwa ww,unamsikitia nani,mijitu mingine bana badala ya kusikitika wasisiemu wanaficha fedha kuua uchumi wa nchi ww unaleta majungu
 
Back
Top Bottom