I salute you my teacher. Indeed you should be one amongst UKAWA's think tank. You're very helpful. Thanks.Naam akisubiri ridhaa ya UKAWA toka miongoni mwa wagombea wengine toka umoja huo. Jimbo la segerea ni moja ya majimbo tata kwa Viongozi na wafuasi wa vyama vyote vilivyomo kwenye umoja huo.
Nadhani mkakati wa pili unatakiwa uwekwe kwa Meya, endapo Mbunge atatoka chama hiki Meya atoke chama kingine, hapo tunaweza kuvuka. Vinginevyo ni mtafaruku mtakatifu.
BACK TANGANYIKA
Tusubiri.
I salute you my teacher. Indeed you should be one amongst UKAWA's think tank. You're very helpful. Thanks.
Na Yericko Nyerere nae analitaka hilo jimbo
Tatizo ni Chama alichochagua kuwa kwacho
nikajua kaswekwa lupango
acheni ukawa wafanye kazi sio kuleta majungu tu.