Nakuunga mkono kwa sababu niliangalia kipindi, jamaa kakuza hili suala kama habari za kwenye magazeti ya udaku.
sina ubishi la ww kumpenda slaa, hapa kidogo ntaomba ufafanuzi ' waliowengi wanampa nafasi' napenda kujua ni wengi wapi? wana CDM , wapinzani kwa ujumla wao au wananchi waliowengi wa TANZANIA, unadhani chama kinaweza kuamua tofauti kwa mizengwe au demokrasia ambayo kwako ameshinda[waliowengi] kisha naomba kujua ninani , au ushahidi upi? uliokusadikisha uamini kuwa MH SLAA alishinda uchaguzi wa rais na kufanyiwa hila. naomba kujua wakati huo ww ulikuwa wapi? na nini ? msimamo wa CDM tuko wakati huo, mpaka leo hii juu ya dai hilo. mwisho naomba unishawishi / uwashawishi WATANZANIA wengine maamuzi gani? magumu aliyokwisha yafanya nje na ndani ya chama.rejea nyekundu= jibu-ni jibu ni ndio maana umoja ni nguvu kwa wao kufanya kazi kama timu wanajenga chma chenye nguvu na imara .bluu=jibu ni ndio chama chenye nguvu kinamtoa kiongozi imara wa kupeperusha bendera ya urais ambaye ni dr. slaa amaye kiukweli mi kama mimi nampenda na ktk hali ya kawaida ukiangalia bila malice utaona walio wengi wanampa sifa na nafasi japo chama kinaweza kuamua vinginevyo........sabababu za mimi kumpam urais moja ndiye mgombea pekee aliyepata kunivutia na mpaka leo napenda pia apeperushe bendera,pili ni mtu pekee inayesemekekana ni mpinzani wa kwanza kushinda urais tangu nchi ipate uhuru na kufanyiwa hila na hakudai kwa nguvu(busara) ,tatu hakurupuki na mtu mwenye uwezo wa kufanya maamuzi magumu........n.k
Wewe ndo haujamuelewa mleta mada,na yeye kasema hivyo hivyo kuwa mfano dr slaa..Kwanza kabisa Karibu sana JF. Pili Acha upotoshaji mkuu,wengi tulifuatilia mdahalo ule, alichokisema Mtatiro ni kuwa watakuwa tayari kushirikiana na watu potential bila kujali vyama vyao kumtaja Dr Slaa ilikuwa ni mfano tu lakini hakusema watahakikisha wanamshirikisha Dr Slaa kwenye serikali ya CUF.
sina ubishi la ww kumpenda slaa, hapa kidogo ntaomba ufafanuzi ' waliowengi wanampa nafasi' napenda kujua ni wengi wapi? wana CDM , wapinzani kwa ujumla wao au wananchi waliowengi wa TANZANIA, unadhani chama kinaweza kuamua tofauti kwa mizengwe au demokrasia ambayo kwako ameshinda[waliowengi] kisha naomba kujua ninani , au ushahidi upi? uliokusadikisha uamini kuwa MH SLAA alishinda uchaguzi wa rais na kufanyiwa hila. naomba kujua wakati huo ww ulikuwa wapi? na nini ? msimamo wa CDM tuko wakati huo, mpaka leo hii juu ya dai hilo. mwisho naomba unishawishi / uwashawishi WATANZANIA wengine maamuzi gani? magumu aliyokwisha yafanya nje na ndani ya chama.
- kwani cuf ni wapinzani au tawi la ccm?
Le mutuz
naona unaniwekea mazingira ya kukubaliana nawe kwa nguvu, maana unalazimisha kuwa hata mimi natambua kuwa MH SLAA ni gumzo, labda nilete ubishi wa kimazoea. kwanza nakubali nabisha ili nielewe. na kutoa fursa pia kwa wengine kuelewa.ktk maelezo yako umewaelezea watu mashuhuri na viongozi wa jamii ambao wamekiri kuwa MH SLAA ni tishio, swali tishio la nini? na kwa sababu gani ? nakubaliana nawe kuwa mh, slaa popote anapokanyaga anavuta umati mkubwa ambao kwa imani inaonekana wanamuunga mkono.lkn hata CCM wanapopita nao umati unawaunga mkono kwa maana ya kujitokeza na hili limejidhihili ktk chaguzi ndogo zilizokwisha fanyika zinaonyesha ushindi kwa CDM/CCM lkn chama kilichoshindwa kinapata kura nyingi zenyekuonesha nacho kinawafuasi wengi ktk eneo hilo. KUTOTOLEWA matokeo kwa mchanganua wa majimbo yaani kwa kutofanyika hilo tu. takwimu zako zinampa ushindi MH SLAA kwanini ? takwimu hizo zisikuongoze kumpa MH KIKWETE au MH LIPUMBA? dhahiri jibu lako kwa kuwa una mapenzi naye. MWANZO ULIMTAMKA KUWA NI MTU WA MAAMUZI MAGUMU nimekuuliza maamuzi yapi? magumu aliyowahi kufanya ndani ya chama na nje hujajibu.MWISHO; AUGUSTINE LYATONGA MREMA alikuwa hashauliki kwa sababu tu ,alikuwa na mtaji wa wapiga kura 2,000,000 kwa ubishi na kutotaka ushauri walipepea wote, mh SLAA naye anao mtaji aulinde asirudie makosa ya MREMA.wangapi ni suala gumu kubainisha namba yao ila anatosha kusema wengi maana amekuwa gumzo sehemu yoyote ninapofika na kukuta hoja juu yake zaidi hata mkuu wa kaya na hata hapa najua hata wewe kuanza mjadala wa majibizano na mimi ni jibu tosha kwako kuwa huyu slaa ni gumzo japo waweza kataa kwa sababu uzijuazo wewe mwenyewe na huenda na ubishi wa kimazoea tu,pili si wapinzani tu wanaomkubali hata magamba wanamkubali(rejea kauli za samwel sita bukoba kuwa tishio ni dr,slaa) ipa mtatiro jana kawakilisha cuf kumkubali dr slaa wangu,viongozi wa dini (rejea kauli za padri mapunda mara kwa mara),mikusanyiko mikubwa ya watu anapokuwa anatembea poipote mikoani ni ishara tosha,tatu ushaidi wangu kuwa alishinda ni kushindwa kwa tume ya uchaguzi kutupa matokeo mpaka leo yenye mchanganuo wa kimajimbo mwisho siwezi kukwambia mimi nilikuwa wapi kwani si muhimuzaidi ya hayo......may be nzi ...over.....when FBI investigates FBI is your challenge
Bora leo umelisema ww unaejua zaidi kilichopo nyuma ya pazia- kwani cuf ni wapinzani au tawi la ccm?
Le mutuz
Nilimsikia,na mh Mwigulu
akamwambia asiwasemehe wengine,akisemee cuf,namshauri dr Slaa nae atamke
kuwakubali cuf au baadhi ya viongozi wa cuf
Kwanza kabisa Karibu sana JF. Pili Acha upotoshaji mkuu,wengi tulifuatilia mdahalo ule, alichokisema Mtatiro ni kuwa watakuwa tayari kushirikiana na watu potential bila kujali vyama vyao kumtaja Dr Slaa ilikuwa ni mfano tu lakini hakusema watahakikisha wanamshirikisha Dr Slaa kwenye serikali ya CUF.
- kwani cuf ni wapinzani au tawi la ccm?
Le mutuz
Kwanza kabisa Karibu sana JF. Pili Acha upotoshaji mkuu,wengi tulifuatilia mdahalo ule, alichokisema Mtatiro ni kuwa watakuwa tayari kushirikiana na watu potential bila kujali vyama vyao kumtaja Dr Slaa ilikuwa ni mfano tu lakini hakusema watahakikisha wanamshirikisha Dr Slaa kwenye serikali ya CUF.
mkuu ITEGAMATWI utakuwa na mtindio wa ubongo, mbona unabishana mwenyewe??
hebu rudia kusoma vizuri post then usome na kioja chako!!!!
kweli magamba hamnazo
Wewe ndo haujamuelewa mleta mada,na yeye kasema hivyo hivyo kuwa mfano dr slaa..
that means dr slaa ni msafi na wengine mithili yake wote wanahitajika...
hata hivyo nadhani ni wazi kuwa cuf inaihitaji sana chadema kuliko vinginevyo...
cuf <<<<<<<chadema
so dr slaa cant be contained in cuf but opposite can work.
- kwani cuf ni wapinzani au tawi la ccm?
Le mutuz
- kwani cuf ni wapinzani au tawi la ccm?
Le mutuz