Mtatiro akosa watu mkutanoni Igunga

Nadhani ajitotokeze aseme "Igunga wapemba na waislamu ni wachache sana, so obviously nilijua siwezi kupata watu, ila nilifanya mkutano kupata posho tu"
 
wa2 walikuwa kama 60 hivi! Nilichoona ni baadhi yao kuonyesha alama ya v inayo2miwa na chadema!
 

mtatiro ni msomi wa UDSM anayekiabisha Chuo.
 
una uhakika mkuu? Pamoja na tbc kukwepesha kamera lakini tanga watu wamejaa sana.

Believe me, that day is coming!

Wishful thinking. Igunga, Uzini, Arumeru?
 
Cuf hakiji juu kabisa kwa speed anayodhania Ntatiro..ameacha kwenda Arumeru kisa ni kuachia wapinzani wengine..Mmi niseme wameogopa aibu itakayowapata mara ya 3 baada ya Igunga na Uzini
 

Kwani wao kwao huku?! Waende Zanzibar kwa wabaguzi wenzake kwani bara hawana chao tena zaidi ya chama Lao Hilo linalojifia.
 
Wishful thinking. Igunga, Uzini, Arumeru?


Just wait and see. Hata NEC bendera walizokuwa wanawabebea zimetoboka, mmeingia kwa mwanapropaganda mwingine, tendwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…