Mtanzania wa leo na ajali

Mtanzania wa leo na ajali

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
15400483_1612294212410429_7752359542448379320_n.jpg



Ajali ya Basi na Lori yatokea asubuhi hii Igurusi mbeya ........WATU WAKO BUSY NA KUPIGA PICHA
 
Wamiliki wa mabasi wanafunga
Hesabu za kuzimu mwisho wa mwaka huu kuweni makini sana
 
Naomba nifahamishwe kuhusu hilo basi lilikuwa linaelekea wapi? Na pia inapiga route ya wapi na wapi?
 
Inasikitisha sana hatusaidii tunataka tuwe wa kwanza kutoa habari kwenye magroup
 
Naomba nifahamishwe kuhusu hilo basi lilikuwa linaelekea wapi? Na pia inapiga route ya wapi na wapi?
MBEYA - DAR ... Nadhani/ hiyo ajali imetokea maeneo ya Igurusi nje kidogo ya jiji la Mbeya.
 
Naomba nifahamishwe kuhusu hilo basi lilikuwa linaelekea wapi? Na pia inapiga route ya wapi na wapi?




Ajal ya New Force tunduma to dar imetokea asubuhi hii enso la Igurusi Mbeya hakuna aliepoteza maisha
 




Ajal ya new forc tunduma to dar imetokea asubuhi hii enso la Igurusi Mbeya hakuna aliepoteza maisha
 
Back
Top Bottom