Mtanzania na Mkenya...

Mtanzania na Mkenya...

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
33,702
Reaction score
40,331
Mtanzania na Mkenya waliingia
supermarket moja jjni Dsm.
Walipotoka Mkenya akawa anajigamba
kwamba Wakenya ni wajanja kuliko
Wa-TZ huku akimwonyesha M-TZ
chocolate tatu alizoiba supermarket.
M-TZ akamshawishi warudi tena ili na
yeye amwoneshe ustadi wake.
Walipofika ndani M-TZ akamwambia
mhudumu nataka nikuoneshe
mazingaombwe, hebu niletee
chocolate tatu, yule mhudumu akaleta
tatu, jamaa akazila zote mbele ya
mhudumu halafu akasema unaona
nimekula chocolate tatu, lakini amini
usiamini chocolate zako zote zipo
mfukoni kwa huyu jamaa! Mhudumu
akamkagua Mkenya mfukoni na
kumkuta nazo, akachukua chocolate
zake zote tatu.
NANI MJANJA KATI YAO? M-TZ au
MKENYA?
 
Wabongo bwana huwa hawana kawaida ya kukubali kushindwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom