Mtanzania Na Majina Ya Ajabu (mtashtakiwa)

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Katika pita zangu kwenye facebook, nilikutana na mkaka anayejiita Thomas David Richardson Bonifas . Nikajiuliza hivi huyu ni mzungu au mbongo, picha na kila kitu ni mweusi tena msoni wa UDSM. Basi hapa ndo nikapata picha kamili Watanzania walivyowatumwa wa kimawazo. Hata wale wanaoitwa taswira ya jamii ndo wale wale watumwa. Kwa nini mtu ajiite majina kama hayo? Sijawahi kusikia wanasiasa wa ulaya na hata wana miziga wakitumia majina ya wengine, ila Bongo Balaa

Kuna wengine wanajiita. Mark Anthony, J-Lo, Kim Kardashian (shangingi la mujini) Amber Rose (Shangingi lingine) Kimora Lee, Tayra Banks, Lady Gaga etc.. Hivi kweli mnajua maana ya haya majina? Kwa nini msitumie majina yenu mkayakuza na kuwa kama wao kuliko kuiga? Kama mmechoka na uafrika basi nendeni ulaya mkajiita hayo majina muone mtakavyojidhailisha.

Jamani tuacheni ujinga. Mnaweza kushtakiwa kwa haya ma ujinga yenu. siku hizi mambo ya identity theft itawafuateni hadi bongo, oho, shauri yenu. Mbona msitumie majina asilia kama Mange Kimambi, au Mwamvita Makamba ambayo ni majina mazuri ya kiafrika inayovutia kuliko kujiweka kuwa vituko?

DSC05137.JPG

Fake Kimora Lee
o.htm

Real Kimora Lee
mboni.jpg

Fake Kim Kardashian
kim-kardashian.jpg

Real Kim Kardashian
45220_109917719064622_100001391835298_85679_5074971_n.jpg

Fake Amber Rose
Amber-Rose-ICEDOTCOM2-e1304103471593.jpg

Real Amber Rose
fide.jpg

Lady Gaga bandia
lady-gaga-shoot.jpg

Lady gaga wa ukweli

kiendelea kutumia majina ya watu mtashtakiwa, kwani hayo majina yamekuwa na haki miliki.
 
huyo kimora lee kachoka kweli, au ndo mkorogo na poda?
 
Ukitaka kujua ujinga wa watanzania angalia jinsi wanavyoishupalia bongo fleva kitu ambacho si cha kwetu na utakuta mtu anajiita malkia ama mfalme wa hii miziki ya kujiokotea. Cha kusikitisha utakuta msanii muislam ila anavaa rozali kisa eti kwa kuwa Kanye West anavaa hivyo. Yaani ujinga unawasumbua sana wabongo, ya nini kujifananiisha na wamarekani weusi, kuna ujiko gani hapa?
 
Ni ulimbukeni na upumbavu. Wajanja hauwezi kuwakuta na majina ya ajabu ajabu kama ya hawa wadada zetu ambao shule sifuri. alafu mkuu shule pia inachangia. Hawa elimu zao ni ni zile za form4. hakuna hata msomi kati yao ambaye amechambua tatizo la wazungu akajiita kim kardashian...akili finyu
 
Kim kardashian(Real na Feki-Mboni Masimba) wote wazuri,ila Mange mbona unawachafua wenzako? Lady Gaga wote wabaya!!!
 
don't think if there's such a name " Thomas
David Richardson Bonifas"...huko FB ambaye ni mbongo
 
Hii tabia ya kupenda/shabikia majina ya kizungu kabila la wajaluo wanaongoza si Kenya si Tanzania. Hii hapa mifano,

1. Macdonald Mariga

2. David Copperfield Opiyo

3.Humphery Bogart Omolo.

4. Microsoft Ouma

5. Scholastica Atieno

6. Bramwell winehouse Atieno

endeleza
 
Hv Mtalingolo laweza kuwa la Abroad?, aaah sidhani kama wanaweza hata kulitamka...
 
Langu pia la kitasha !
Unanishaurije ?
Nilifute ?
Jibu kama ndiyo,
nipendekezee jina.
 
Ni ulimbukeni na upumbavu. Wajanja hauwezi kuwakuta na majina ya ajabu ajabu kama ya hawa wadada zetu ambao shule sifuri. alafu mkuu shule pia inachangia. Hawa elimu zao ni ni zile za form4. hakuna hata msomi kati yao ambaye amechambua tatizo la wazungu akajiita kim kardashian...akili finyu

Lets say form four ndiyo tatizo lao au la nchi hii.
Je wasomi wenye manufaa unaowaongelea ni akina nani? Prof. Kapuya? Dr. Kikwete? Prof. Mkandala? Prof. Msola? Dr. Migilo? Au una maanisha kitu gani?
 
Hii tabia ya kupenda/shabikia majina ya kizungu kabila la wajaluo wanaongoza si Kenya si Tanzania. Hii hapa mifano,

1. Macdonald Mariga

2. David Copperfield Opiyo

3.Humphery Bogart Omolo.

4. Microsoft Ouma

5. Scholastica Atieno

6. Bramwell winehouse Atieno

endeleza

ok lakini wewe ujui kwamba Luo is an international tribe. They are found in Tz. Uganda kenya sudan kwa obama nigeria. Bondeni kwa mbeki
 
Kweli eeeh? Naona hata uingereza wako si unaona hayo majina ni ya kidhungu!
 
Mimi nakuuliza wewe Muke Ya Muzugu na LUMAto nani wa kwanza aliyeileta hii thread humu? Kama ni ID za mtu mmoja tuambie. Copy sweetlady.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom