Mtanzania mpe picha, maelezo atapata.

Mtanzania mpe picha, maelezo atapata.

Ukiitazama picha ya kwanza utaona kuna watu wawili wamenyongwa cuz wananing'inia kwenye vitanzi
Katikati ya watu hao utaona kuna mtu amesimama huyo anawakilisha mtesaji au muuaji kwa hao watu wanaoning'inia

Pia,kuna hyo picha nyingine ambapo yupo huyo m2 Aliyewekewa gunia la fedha na anatokwa damu
TAFSIRI;
huyo mtu anawakilisha serikali na hizo fedha za kwenye gunia zinawakilisha uchumi wakati damu inawakilisha mauaji
Therefore; serikali imeamua kujiua yenyewe kwa kuua uchumi kwa kuwa pamoja na kuwahadaa wananchi kuwa inakusanya fedha nyingi lkn bado biashara nyingi zinafungwa hakuna ajira mpya na maisha ni mabaya nchi nzima!
 
Ukitafuta pesa/Mali kwa kukandamiza wengine mwisho wako hautakuwa mzuri
 
Kuna watu wako tayar kuua kwa ajili ya pesa
 
Back
Top Bottom