Mtanzania mfanyabiashara afariki ghafla nchini China

R.I.p .
Hongereni watanzania mlioko China, mnatuwakilisha vyema, umoja ni nguvu, hakika mnaweza na mwili utafika nyumbani.
 
Huyo mtu ana mamaake ana baabaake ana kakazake ana dadazake ana wajomba mashangazi wakumrehem unahisi wote watakuwa china!? Unajua china utamaduni wao wa kuzika!!? Wewe ukiwa na mkewako kikazi india ukifa utaprnda uzikiwe india!? Ni mtazamo tu usijenge chuki! [emoji109] [emoji109] nothng personally

Hiyo $20,000 kwanini isichangishwe ili wakapewa Watoto wake na Mkewe huku nyingine ikitumwa kuja kuwasidia Wazazi, Ndugu na Jamaa zake? Akirudi Kuzikwa huku kunaleta Tija gani ya Kimantiki kama baada tu ya Maziko yake Familia yake inaanza kupiga ' miayo ' na kutembeza mabakuli ya Kuomba misaada na kulia shida? Tuacheni hizi Imani za ' hovyo hovyo ' kwani Mimi naamini kabisa kwamba Udongo wa China na wa Tanzania ni ule ule tu kikubwa ni Kumuhifadhi tu Marehemu na mengineyo tunamwachia Mwenyezi Mungu.

Anyways R.I.P Marehemu na poleni sana Wana Familia na wale wote mlioguswa na huu msiba mzito kwa namna moja au nyingine na tuko pamoja katika Kipindi hiki Kigumu cha Maombolezo.
 
Hata azikwe ama achomwe moto, hata aione nani wala nani haiondoi dhana kuwa tayari ni maiti/mzoga.
Kuona kaburi la ndugu yako haisaidii chochote zaidi ya kujaza viwanja.
Bora nasi tuwe na utaratibu wa kuchoma kupunguza gharama za kusafirisha mizoga na kuweka viwanja vyetu katika usafi.
 
Kwanini usingeandika tu kuliko ku quote uzi mrefu alafu una comment pumba!! Kwani maziko si wanakubaliana familia wewe unahusika vp[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi sentensi moja ndiyo uzi mrefu? au mimi ndo sijaelewa unavyomlaumu huyo jamaa alivyo quote hiyo sentensi moja....kati yako na yeye nani ni bora?
 
Akizikwa china mtamwongezea majukum wabogojo, kwenda kumwona jacky gerezani kila wiki alafu akitoka anapitia kufagia kaburi na kuangalia kama lipo au halipo, R I P Sheikh
 
Wamesema na mizigo na vitu mbalimbali halafu pia ni utamaduni uliozoeleka marehemu kupelekwa nyumbani kwao ili ndg zake wapate kufarijika/!!!!
Tuacheni kuwa wachumi kwenye misiba mkuu.
Hiyo $20,000 kwanini isichangishwe ili wakapewa Watoto wake na Mkewe huku nyingine ikitumwa kuja kuwasidia Wazazi, Ndugu na Jamaa zake? Akirudi Kuzikwa huku kunaleta Tija gani ya Kimantiki kama baada tu ya Maziko yake Familia yake inaanza kupiga ' miayo ' na kutembeza mabakuli ya Kuomba misaada na kulia shida? Tuacheni hizi Imani za ' hovyo hovyo ' kwani Mimi naamini kabisa kwamba Udongo wa China na wa Tanzania ni ule ule tu kikubwa ni Kumuhifadhi tu Marehemu na mengineyo tunamwachia Mwenyezi Mungu.

Anyways R.I.P Marehemu na poleni sana Wana Familia na wale wote mlioguswa na huu msiba mzito kwa namna moja au nyingine na tuko pamoja katika Kipindi hiki Kigumu cha Maombolezo.

Lukwafya
 
MFANYABIASHARA MTANZANIA AFARIKI GHAFLA NCHINI CHINA
MTILAH BLOG / moments ago

Picha ya Marehemu enzi za uhai wake

Simanzi na majonzi vimetawala kwa Watanzania waishio nchi China baada ya kuondokewa na Mtanzania mwenzao ndugu HAMIS RUHABAYE.
Hamis ambae alikuwa Mfanyabiashara katika mji wa Guanzhou kwa muda mrefu na alikuwa anaishi pamoja na familia yake amefariki Dunia leo Jumatano Januari 17,2018.

Kwa mujibu wa Taarifa kutoka kwa Bw. Abraham ( Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wafanyabiashara wa Kitanzania wanaoshi China) Amesema Marehemu alifariki ghafla kutokana Matatizo ya Moyo.

Bw. Abraham amesema tayari wamekaa na wameafikiana kwamba Bajeti inayohitajika kwa ajili ya kusafirisha Mwili,Familia na Mizigo mbalimbali hadi Tanzania ni 20,000 USD.
Watanzanai waliopo nchini humo kwa pamoja wameanza kuchangishana ili kupata kiasi hicho cha fedha kwa ajili ya kufanikisha zoezi la usafirishaji.

Visit website
Sasa kama alifarika kwa tatiz la moyo!!!inakuaje gafla tena?hahahaha wabongo buanaaaa
 
R.I.p .
Hongereni watanzania mlioko China, mnatuwakilisha vyema, umoja ni nguvu, hakika mnaweza na mwili utafika nyumbani.
Acha sifa zakijinga!!!wenzako wanapmban wew utazid kuwapa sifa!!!kama unajua ni vizur kwann nawew usiende kuwakilisha?
 
Hiyo $20,000 kwanini isichangishwe ili wakapewa Watoto wake na Mkewe huku nyingine ikitumwa kuja kuwasidia Wazazi, Ndugu na Jamaa zake? Akirudi Kuzikwa huku kunaleta Tija gani ya Kimantiki kama baada tu ya Maziko yake Familia yake inaanza kupiga ' miayo ' na kutembeza mabakuli ya Kuomba misaada na kulia shida? Tuacheni hizi Imani za ' hovyo hovyo ' kwani Mimi naamini kabisa kwamba Udongo wa China na wa Tanzania ni ule ule tu kikubwa ni Kumuhifadhi tu Marehemu na mengineyo tunamwachia Mwenyezi Mungu.

Anyways R.I.P Marehemu na poleni sana Wana Familia na wale wote mlioguswa na huu msiba mzito kwa namna moja au nyingine na tuko pamoja katika Kipindi hiki Kigumu cha Maombolezo.
Kweli sisi wabongo wanafki sana!!!et "tupo pamoja katka kipnd hiki cha maombolezo"unamjua?huo unafk mkuu
 
Hata azikwe ama achomwe moto, hata aione nani wala nani haiondoi dhana kuwa tayari ni maiti/mzoga.
Kuona kaburi la ndugu yako haisaidii chochote zaidi ya kujaza viwanja.
Bora nasi tuwe na utaratibu wa kuchoma kupunguza gharama za kusafirisha mizoga na kuweka viwanja vyetu katika usafi.
Mkuuu umenchekeshaaàaaaa hahahahahhaha!!!!ila we huna tofaut na bashite kwa kufikiria hongera
 
Back
Top Bottom