Mtanzania Maskini

Tayseer

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
232
54
Habari wadau
Kumejengeka tabia kwa viongozi wetu wengi kutumia neno mtanzania maskini, au mwananchi maskini
Matumizi ya maneno hayo kwangu mimi naona imekuwa kama kichaka cha kuficha mambo muhimu.
Je ni vigezo gani hasa vinatumika kutambua huyo mtanzania maskini?

Je vipimo hivyo vina usahihi kwenye maisha yetu ya kila siku au ni vipimo vya kwenye maneno na karatasi?
 
Akili za watanzania nazo zinadhiirisha umasikini wao.
 
Back
Top Bottom