Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 552
- 1,117
Kwenye page ya immigration Tanzania inadai Romania ni moja ya nchi ambayo Tanzania hatuhitaji visa kwenda kutembea na ivi sasa Romania na Bulgaria zimekubaliwa kuingia Schengen so sijui inakuwaje; kuna Mtanzania yoyote amewahi kwenda Romania bila visa? Coz ubalozi wake unasema mengine na immigration ya TZ inasema mengine.