Mkuu Waberoya
Nakumbuka miaka ya nyuma humu jamvini ulikuwa unawapa sana ushauri Chadema walikuwa wanakutukana sana, lakini leo wanakumbuka ushauri wako jua limezama.
Nice to see you back.
WANATAKA KUTONGANA MANGUMI HAPA
Na ccm itakufaje kama cdm wanaoza. Lazima chama cha upinzani kiwa hai ndipo chama cha utawala kitakufa. Sasa nani wa kukiua. Mfu hawezi kuuua labda uamini kwenye mazingra.
Kwa hali ilivyo tusubiri kusikia wapiga kura mwaka 2015 ni 10% ya waliojiandikisha kupiga kura. Kwa sababu watanzania wengi wanapenda mabadiliko ila hakuna chama kilichotayari kua mbadala wa Ccm. Watu wengi watakata tamaa na kususia kura
Ha ha ha ha haha ccm baa mnahangaika na chama kilichokufa mnagharamia mamilioni kuhonga na kutengeza kesi mara sijui nani kapigwa mara cjui nani gaidi .............Chama kimekufa hiki
Acha kuweweseka wewe. Chadema ni magaidi, wauwajiHa ha ha ha haha ccm baa mnahangaika na chama kilichokufa mnagharamia mamilioni kuhonga na kutengeza kesi mara sijui nani kapigwa mara cjui nani gaidi .............
Kwa hali ilivyo tusubiri kusikia wapiga kura mwaka 2015 ni 10% ya waliojiandikisha kupiga kura. Kwa sababu watanzania wengi wanapenda mabadiliko ila hakuna chama kilichotayari kua mbadala wa Ccm. Watu wengi watakata tamaa na kususia kura
Wakiongozwa na Mkuu wao Chimbi na Chemba ha ha ha ha ha ha ha madaraka matamu machine yao ni TISSAcha kuweweseka wewe. Chadema ni magaidi, wauwaji
Askofu Mstaafu wa Kanisa la Anglikana anayetoka Mkoa wa Kigoma, Dk. Gerald Mpango, ambaye amekuwa mpenzi mkubwa wa siasa za mageuzi na ameshiriki mikakati mingi ya kuijenga Chadema, amesikika akisema kuwa hatua ya kumtoa Zitto haitakiacha salama chama hicho, licha ya kuwahi kufanya hivyo kwa Kafulila na Dr. Kabourou
Poor analysis ever...kwa balance ipi wanafanana..kumtimua kanjanja wa pesa za ujeruman au?Ni kweli kabisa CCM+CHADEMA wote hovyo tu
Wasomi mnaowasemea si ndo hao waliolifikisha taifa hapa lilipo tokea tupate UHURU zaidi ya miaka 50 au ni wasomi gani wanaosemewa? This is completely nonesence