Mnaliwa sana na funza lakin neno GDP liko at the tip of u r tongue hahahaFunza Tanzania ndio zimejaa hata usiseme. Unlike Kenya, huko hakuna anayefanya lolote kuzihusu, mnaendelea tu kutafunwa.
Explain vipi mnakula kinyesi, vipi GDP ni $61b kwa population ya over 60 million Danganyikans, vipi omba omba wenu wamejaa kila barabara katika miji ya Kenya,ATCL kuibiwa betri(uhaba was umeme), Bagamoyo imeishia wapi?, Wewe mwenyewe uliweka hapa Mumbai mnaenda mwezi huu sasa njoo na vijisababu, SGR Tz imekwama sio Siri juu hamna fedha. Bure kabisa!πDespite the fact that your government is failed and broke, Tanzania is over you in so vast opportunities to ease the financial well-being of the people compared to you, we have abundance of natural resources which can lift individual economy freedom without depending on the formal established environment like you like employments from companies and that's why you have more unemployed population than us though we're more than you.
Majority of Tanzanians employed themselves in mining, farming, fishing because of vast natural resources which you don't have.
My insane friend GDP haijafika $62b ππ ikifika nitag, afu mlinunulia ATCL betri? ππMnaliwa sana na funza lakin neno GDP liko at the tip of u r tongue hahaha
Wacha njaa iwachape sawasawa ndio akili zitawakaa vizur
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
[/URL]Ila funza na njaa havijawaacha mnakwama wap Kwan
Na mashaka sana na ubongo wako. Katika watu ambao huwa hawajiamini ni member wa CCM. Kupinga au kutopinga wewe inakupunguzia nini? Utakuta ni mtu wa kawaida hana hata cheo kwenye chama cha ccm zaidi ya kufuata mkumbo.Mapinzani yatapinga yatasema hizo pesa ni za kenya
Mnaliwa sana na funza lakin neno GDP liko at the tip of u r tongue hahaha
Wacha njaa iwachape sawasawa ndio akili zitawakaa vizur
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Nikwel inajali wanyongee ccm oyeeeeeMaccm yatasema almas imepatikana kwa kuwa serikali ya awamu ya 5 inajali wanyonge