Na Mashaka Mgeta
Nipashe
Maofisa wa habari katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, hawakuwa tayari kuzungumzia kifo hicho, kutokana na kile walichokieleza kuwa kutopata taarifa hizo.
Hata hivyo, maofisa hao wamethibitisha kupata taarifa hizo kutoka kwa watu waliojitambulisha kuwa ndugu wa marehemu Eric.
Sasa hapo ni kwamba tunaambiwa wamepata taarifa au hawajapata taarifa? Jamani jamani wasemaji wa serikali yetu na magazeti yetu jamani. Hivi mbona Kiswahili ni lugha nyepesi mno? Umezaliwa Tanzania kweli unafanya kazi kama msemaji serikalini au mwandishi wa gazeti la Kiswahili huwezi andika sentensi mbili zikaleta maana?