Mtanzania ashika nafasi ya 5 Marathon Olympic "Rio 2016"

Mtanzania ashika nafasi ya 5 Marathon Olympic "Rio 2016"

Aah jama Dola 500 ndogo mno..... nipo kwenye Club moja huku mbele, nimeiweka dola 500 kwenye walet
nagida drinks mizuka ikinipanda naweza daka totoz moja ya kizungu nahonga dola mia hamsini ela imeisha
mkuu acha masihara huku bongo kuna mkaka nimemuomba elf 20 ya saluni kazima simu toka juzi
njoo huku bwana
 
Jamaa alianzia no 25, baadae akafika 12, baadae 9 then ndo akaishia 5,na mtangazaji hakusema hapa kazi tu bali aliongezea Kuwa inaonekana ni matunda ya hapa kazi tu
 
View attachment 385381
View attachment 385338 Hatimaye Mtanzania mwenzetu ALPHONCE FELIX SIMBU anayetuwakilisha katika mbio za Marathon huko Rio Olympic ameshika nafsi ya tano.

Naona kamati ya Olympic hata picha yake hawana,maana wengine wote picha zao hapo juu zimewekwa.Mtangazaji anasema kwa zaidi ya miaka 30,toka record iwekwe na Juma Nkangaa,Tanzania haijawahi kuingia ktk nafasi kama hii.Hii inaonyesha 2020 Tokyo Tanzania inaweza kufanya vizuri kama majirani zao Kenya

Kilichotuvutia wengi ni mtangazaji kusema "The 5 position goes to Tanzanian,with the slogan of their Presiedent "Hapa Kazi Tu"

Serikali iwekeze kwenye michezo,iache siasa siasa,sio unakuta kiongozi wa Shirikisho la Riadha sijui anaitwa Mtaka Anthony(RC wa Simiyu) mtu ambaye hana record yoyote ya ukimbiaji ktk level ya kimataifa,wanatumia hizi nafasi kwa ulaji na ngazi za kupatia madaraka ya kisiasa
WAMETUFUNGA LAKINI CHENGA TWAWALA
 
Jamaa alianzia no 25, baadae akafika 12, baadae 9 then ndo akaishia 5,na mtangazaji hakusema hapa kazi tu bali aliongezea Kuwa inaonekana ni matunda ya hapa kazi tu
Asante kwa marekebisho...Kwa kweli jamaa anahitaji pongezi sana,yaani licha ya kufanya Training kwenye mazingira magumu lakn bado amejitahidi.
Bila shaka angewezeshwa basi ingekuwa bora zaidi na zaidi
 
5th position...duniani... safiii safiiii safiiii sanaa...

Well done... ila huyu sasa atanunuliwa uraia wake sasa hv na nchi tajiri kutangaza nchi zao kimataifa...!!

Just wait and see.. atanunuliwa..!!
atununuliwa kwasabu si ni majinga sana..kwanza tumejua kwamba kuna mshirik toka TZ baada ya kushinda aibu yetu..
 
Kapata hiyo nafasi kwa jitihada binafsi na kipaji! Serikali ikae kimya kabisa hapa..! Na huyu tushamkosa atanyakuliwa na kwenda kupewa uraia kwenye nchi zinazojua maana ya michezo na kuthamini vipaji
ghafla akirudi nyumbani utawaona kina nape mbiombio kumpeleka jengo la CCM pale Lumumba na Ikulu magogoni,sidhani kama tulishawahi kufikiria vizuri kama taifa kuhusu kuinua michezo zaidi ya kuvilaumu vyombo vinavyo simamia michezo kama TFF na wenzie
 
Tuna hulka ya kuvamia karamu ambayo hatukushiriki kuziandaa
 
Back
Top Bottom