Mtanzania ashika nafasi ya 5 Marathon Olympic "Rio 2016"

Mtanzania ashika nafasi ya 5 Marathon Olympic "Rio 2016"

barafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
6,739
Reaction score
32,917
image.jpeg

image.jpeg
Hatimaye Mtanzania mwenzetu ALPHONCE FELIX SIMBU anayetuwakilisha katika mbio za Marathon huko Rio Olympic ameshika nafsi ya tano.

Naona kamati ya Olympic hata picha yake hawana,maana wengine wote picha zao hapo juu zimewekwa.Mtangazaji anasema kwa zaidi ya miaka 30,toka record iwekwe na Juma Nkangaa,Tanzania haijawahi kuingia ktk nafasi kama hii.Hii inaonyesha 2020 Tokyo Tanzania inaweza kufanya vizuri kama majirani zao Kenya

Kilichotuvutia wengi ni mtangazaji kusema "The 5 position goes to Tanzanian,with the slogan of their Presiedent "Hapa Kazi Tu"

Serikali iwekeze kwenye michezo,iache siasa siasa,sio unakuta kiongozi wa Shirikisho la Riadha sijui anaitwa Mtaka Anthony(RC wa Simiyu) mtu ambaye hana record yoyote ya ukimbiaji ktk level ya kimataifa,wanatumia hizi nafasi kwa ulaji na ngazi za kupatia madaraka ya kisiasa
 
Kajitahidi sana ila hii serikali yetu haiwajali. Wamepewa dola 500 kwa kujikimu kwa mda wote watakao kaa uko Rio na kuhaidiwa wakirudi watapewa nyingine ila wakatumiwa taarifa kuwa zile hela zimepunguzwa watapewa nusu.
Serikali haitoi motisha kwa wana michezo.
 
Kapata hiyo nafasi kwa jitihada binafsi na kipaji! Serikali ikae kimya kabisa hapa..! Na huyu tushamkosa atanyakuliwa na kwenda kupewa uraia kwenye nchi zinazojua maana ya michezo na kuthamini vipaji
 
Kajitahidi sana ila hii serikali yetu haiwajali. Wamepewa dola 500 kwa kujikimu kwa mda wote watakao kaa uko Rio na kuhaidiwa wakirudi watapewa nyingine ila wakatumiwa taarifa kuwa zile hela zimepunguzwa watapewa nusu.
Serikali haitoi motisha kwa wana michezo.
Aah jama Dola 500 ndogo mno..... nipo kwenye Club moja huku mbele, nimeiweka dola 500 kwenye walet
nagida drinks mizuka ikinipanda naweza daka totoz moja ya kizungu nahonga dola mia hamsini ela imeisha
 
Hongera zake. Wakimbiaji yafaa watoke kabila la wairaqw.... asilimia kubwa waliofanikiwa walikua wa huko. Hata Kenya na Ethiopia wafukuza upepo ni jamii flani tu. Na sio za kibantu. Dizaini za Kikushi
 
Mbona huyo ni mnyaturu! Au kwa kuwa hamwapendi wanyaturu?
 
Mkuu mimi si mfuasi wa hicho unachofikiri,lakini Mtangazaji kasema kabisa kabisa...Mpaka House Girl wengi katika maneno yooooote,kalisikia hilo tu!!Usiwe mbishi
Ha ha ha mpwa umenichekesha, hata mimi nimsikia mtangazaji akilitamka neno hilo tu "HAPA KAZI TU" unaju mpwa mnaweza kwenda wote mpirani, mtu bado akauliza matokeo.
 
5th position...duniani... safiii safiiii safiiii sanaa... alafu Mwiraqw huyu... Wairaqw wanakimbia kama Filbert Bay enzi zake... sema hawapewi maandalizi.. Wairaqw wangetutangaza sana kimataifa kwa mbio ndefu sana

Well done... ila huyu sasa atanunuliwa uraia wake sasa hv na nchi tajiri kutangaza nchi zao kimataifa...!!

Just wait and see.. atanunuliwa..!!
 
Back
Top Bottom