Mtanzania apora Sh. bilioni 400 za Aga Khan

Ring movement hizo.ni makida makida tu hapo,dili hizo znapigwa na wajuv wa mambo sahau kukamatwa na hata akidakwa itaishia habari za gazetin tu
Kwanza unajiuliza Mtanzania gani mwenye akili ya kujificha na 400B?

Wanaoibaga less than 1B tu wanakimbiliaga Temeke wanakamatwa kama kuku! Hahah hawanaga akili hata za kutorokea mipakani.
 
Kudos to Remtulla

Aga Khan services are a reserve of the elite class, we couldnt care less about their firtunes

Tumechezewa vya kutosha
 
Utakufa kabla haijaisha in case fujo zako zikiishia kwenye kununua magari tu. Ukijimix kununua ndege miaka mitano unakuwa maskini wa kutupwa
Ni kweli kabisa. Wengi hela nyingi zimewaua. Maana huwa wanafanya mambo ya ajabu sana.
Mkumbuke Mtu mmoja wa Nigeria aliyekuwa anakodi ndege kufuata makahaba Ufaransa. Mwisho akaja kufa na UKIMWI!
 
Laizer kapata Billion 7 tu kachachawa,huku kuna zamadamu mwana wa kiinjekitile....

kajimuvuzishia Billion 400 brother ingekua ni mimi,ningejificha chini ya ardhi kama...

ni kunidaka wangekuja kunidakia Mbinguni,ila kwa hela hizo hamnidaki ng'o....
 
Na baada ya kumuhoji wakamwacha aende
 
Kwanza unajiuliza Mtanzania gani mwenye akili ya kujificha na 400B?

Wanaoibaga less than 1B tu wanakimbiliaga Temeke wanakamatwa kama kuku! Hahah hawanaga akili hata za kutorokea mipakani.
Ha! Ha! Ha!

Umenikumbusha wale jamaa wa security group waliokimbia na hela wakaishia kununua viwanja kisemvule na magari used

Mwisho wa siku wakakamatwa km kuku
 
Kuna mahali wametaja namba ya nyumba au mimi ndio sielewi.
 
Kumbuka alikuwa anapokea fedha na kuzitoa kupitia akaunti ya bank iliyopo uswisi.
Lawama kubwa huko nje ya Nchi si Barclays Tanzania au FBME
 
Tusichanganye madesa, hapa uelewa wangu uko hivi:
Huyu jamaa alikuwa anatumia alias name, hilo Remtullah linaweza lisiwe jina lake lakini ndio lililosajiriwa benki zote na account za nje. Hapo Agha Khan wanadai hawajui hilo jina wala cheo chake ila ndio alikuwa anafanya transactions.

Benki ilimhoji kwa kutilia shaka mihamala mikubwa anayofanya mara kadhaa, ni sehemu ya taratibu za kibenki. Benki haikuwa na mamlaka ya kumkamata wala kumshikiria kwenye mahojiano kwa vile hakuwa wanted na sio kazi ya benki kukamata mtu yeyote anayetoa hela nyingi. Hakuwa anatafutwa wala Agha Khan haikureport upotevu wa fedha sasa mnaanzaje kulaumu benki.

Alikwenda na hakurudi kwa kujishtukia kisha ndio taarifa za kupotea fedha zimetolewa. Kwanza sijaona wapi Agha Khan wameclaim kuibiwa hela. It seems wenyewe hawajui au hawahitaji kuhusika na hizo fedha. Anayesema Agha Khan wameibiwa ni FBI na mabenki, AK wakiulizwa wanasema mabosi wako likizo ya corona, mwanasheria wao anasifia taasisi. They are cool, they don't give a fvk
 
Kama ile ya Leonardo de Caprio true story ya jamaa aliyekuwa akichonhesha cheque feki za benki, tamu balaa
 
Kudos to Remtulla

Aga Khan services are a reserve of the elite class, we couldnt care less about their firtunes

Tumechezewa vya kutosha
Kwanza hawajui hata kama wamepigwa, they don't care hata wanavyohojiwa, it's like whatever,

They don't give a toss, wameingiza na kuzitoa wenyewe kuhalalisha michezo fulani fulani within the organization, no doubt!

Na wameshaambiwa wamkane wafute traces zote, huyo dada wa Tz, yeye anawajuaje wafanyakazi wote wa organization??

Everyday is Saturday................................
 
Akili kubwa ndiyo hiyo ?
Mwingine angepiga angejioneshaonesha kwenye social media ...
Any way ngj FBI waingilie kati maana nao watawatumia watu wenye akili kubwa kum truck
Sahv hiyo ni kama game ya chase

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…