Mtanzania anunua kitanda cha Bilion Tsh 350!!

Mtanzania anunua kitanda cha Bilion Tsh 350!!

Nilivyoona kitanda cha bilioni 350 nilijua atakuwa chenge tu kakinunua.kumbe ni kitanda cha 70000 bana.anyway kabinti ni kazuri maeneo ya nyuma.
 
Wandugu hizi picha mnavyoziweka ghafla humu jukwaani mtatutuua sisi wazee wenye presha.........

Maana nilivyoiona tu nikausikia moyo umesimama ghafla kama umeme wa tanesco......

Laaaahaulaaaa......
 
Back
Top Bottom