Kama heading ilivyo naomba kujua kuhusu hii allowance inayotelewa ya 950 TL Serikali ya Uturuki, je inatosha kwa matumizi kweli, kwa mtu mwenye majukumu mengine nyumbani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.