Mkuu take care utakuja kujikuta upo mikononi mwa ADF NARU kwa iyo kuwa makini sana huwa wanatumia sana kutafuta wataalamu kwa kuwadanganyia nafasi km hizoNinaomba kama kuna Mtanzania yeyote aliyepo nchi tajwa hapo juu na ana connection na kampuni yeyote inayojihusisha na uchimbaji wa madini anisaidie kunishika mkono nipate kazi huko.
Nina shahada ya uhandisi wa Mitambo na nina uzoefu wa mwaka mmoja katika kusimamia, kuzikarabati na pia kukagua engine na mitambo mingine midogomidogo.
Ninathamini kazi na pia huwa niko mbele ya muda kuhakisha nafikia mpango mkakati wa taasisi husika.
Natanguliza shukrani zangu kwa mtoaji au atakayesaidia kupatikana kwa msaada. Unaweza ukanifikia kwa PM.
Nashukuru kwa angalizo Mkuu. Nitajiridhisha kwa kadri nitakavyoweza juu ya msaada wowote utakaotolewa.Mkuu take care utakuja kujikuta upo mikononi mwa ADF NARU kwa iyo kuwa makini sana huwa wanatumia sana kutafuta wataalamu kwa kuwadanganyia nafasi km hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda Zambia wewe, au Geita kamtafuts kota mmoja anaitwa chacha anamiliki shule inaitwa waja springs academy congo hakuna pesa utaenda uwafanyie kazi mabeberu urudi kama ulivyokwenda
Kwako wewe usiyejua lolote.Sio kweli
Sina mawasiliano yake, lakini waweza tafuta email yake kupitia wafanyakazi wa kampuni yake kupitia website ya waja springs ni kijana makini sana.Unaweza niunganisha naye Mkuu?
Ni mkali sana hataki masikhara na kazi, ukipata barua pepe yake fanya maamuzi fastaaaa, au waweza kumDM dada mmoja anaitwa lindasamson1 huko instagram akupe mawasiliano ya mtu yeyote wa kampuni ya wajaNashukuru sana kwa muongozo wako, ntajaribu kumtafuta nione mwitikio wake utakuaje.
shukrani sana, ni kwa bahati mbaya sana sipo insta,ila kwa uhitaji nilio nao sina budi kumtafuta huyo dadaNi mkali sana hataki masikhara na kazi, ukipata barua pepe yake fanya maamuzi fastaaaa, au waweza kumDM dada mmoja anaitwa lindasamson1 huko instagram akupe mawasiliano ya mtu yeyote wa kampuni ya waja
Wewe nyamongo wakati mie nipo huku acha mkitania bhana !Nyamongo utaweza? Nichonge nao
Usimpotoshe mwenzio,ana malengo makubwa,sasa wana anamiliki mgodi gani mkubwa?!?Ni mkali sana hataki masikhara na kazi, ukipata barua pepe yake fanya maamuzi fastaaaa, au waweza kumDM dada mmoja anaitwa lindasamson1 huko instagram akupe mawasiliano ya mtu yeyote wa kampuni ya waja
Usimpotoshe mwenzio,ana malengo makubwa,sasa wana anamiliki mgodi gani mkubwa?!?Ni mkali sana hataki masikhara na kazi, ukipata barua pepe yake fanya maamuzi fastaaaa, au waweza kumDM dada mmoja anaitwa lindasamson1 huko instagram akupe mawasiliano ya mtu yeyote wa kampuni ya waja
Uwe unauliza kwanza kabla ya kukosoa kiazi wewe sina haja hata yakukujibu msaidie ujuavyo.Usimpotoshe mwenzio,ana malengo makubwa,sasa wana anamiliki mgodi gani mkubwa?!?
Sent using Jamii Forums mobile app
wabeja sanaUwe unauliza kwanza kabla ya kukosoa kiazi wewe sina haja hata yakukujibu msaidie ujuavyo.
Umasikini mlio nao mbaya sana