M Mixxx Member Joined May 3, 2025 Posts 58 Reaction score 66 May 5, 2025 #1 Kama kuna mtanzania alipo angola naomba kujua kama kuna fulsa kwa wajasiliamali nchini Angola hali ipoje na fulsa zake naomba msaada kwa yoyote aliopo huko
Kama kuna mtanzania alipo angola naomba kujua kama kuna fulsa kwa wajasiliamali nchini Angola hali ipoje na fulsa zake naomba msaada kwa yoyote aliopo huko
Masai wa Town JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 6,996 Reaction score 25,398 May 5, 2025 #2 Watanzania ni waoga kusafiri. Hata aliyepo Rwanda utamkosa
Powell Gonzalez JF-Expert Member Joined Jun 28, 2023 Posts 1,662 Reaction score 3,017 May 5, 2025 #3 Tanzania Aliyepo...sio aliopo.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 123,125 Reaction score 202,504 May 5, 2025 #4 Subiri wanakuja kukupa muongozo.
M Mixxx Member Joined May 3, 2025 Posts 58 Reaction score 66 May 6, 2025 Thread starter #5 cocastic said: Subiri wanakuja kukupa muongozo. Click to expand... Asante
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 123,125 Reaction score 202,504 May 6, 2025 #6 Joseph Magrin said: Asante Click to expand... 🙏
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,403 Reaction score 197,122 May 6, 2025 #7 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw
Poor Brain JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 28,865 Reaction score 58,677 May 6, 2025 #8 Mkuu karbu sana
M Mixxx Member Joined May 3, 2025 Posts 58 Reaction score 66 May 6, 2025 Thread starter #9 Poor Brain said: Mkuu karbu sana Click to expand... Asante mkuu
M Mixxx Member Joined May 3, 2025 Posts 58 Reaction score 66 May 6, 2025 Thread starter #10 Smart911 said: Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw Click to expand... Pamoja kaka nipo nasubir apa
Smart911 said: Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw Click to expand... Pamoja kaka nipo nasubir apa