Mtanzania aaga dunia huko Rwanda

mbona mkuu mkatili hivi mkeo bado uko nae nyumba moj

samahan kuuliza hvii ukijibu ntafafanua
 
Hahahha ..kaka sio sababu ya uchagga..ni mazingira tu..lengo ni ubalozi pale kigali ushtuke kidogo..maana una tabia ya kulalalala..kumbuka huyu ni konda tu..na maiti yabidi isafirshwe..so msaada wa ubalozi unahitajika

Kwanini msimwambie kagame kama mmeshindwa kusafilisha hiyo maiti? kwa mzee pk ni faster sana,ni kuwapatia ndege mpaka dar au mnasemaje? msisubiri ubalozi kula kona.
 
Polen wafiwa embu badaya taarifa jichangishen hata mkirud mkiwambia mnakadhaa wanajuawamalizaje

mungu awafariji
 
poleni sana je ubalozi umetoa ushirikiano unaotakiwa ??
 

Poleni sana,Ina maana madereva wote waliokua hapo ni wageni wa safari za Goma?,Si tulishakatazwa wageni wasioge kwenye hilo ziwa,mbona waTanzania hatuelewi na kutii miiko ya nchi za watu?!.WAAMBIENI WOTE WLIOPO HAPO,WAGENI HAWARUHUSIWI KUOGA KWENYE HILO ZIWA WALA KUCHEZEA MAJI YA ZIWA KIVU.
 
poleni sana ila isije ikawa kuna hujuma zimefanywa na huyo dikteta maana mpaka sasa hatupo kwenye uhusiano mzuri

Ndugu sio Hujuma,hao itakua wameenda na vijana wageni kwa safari za Goma,kwa kawaida tulishakatazwa na wenyeji tuaioge kwenye hilo ziwa,mgeni akiingia tu kwenye hayo maji akitoka ni maiti
 

Ningekuwa mwalimu wa kiswahili ningekuchapa bakora, huwezi kusema source ni wewe ulieko eneo la tukio wakati heading inasema huko(ukimaanisha haupo eneo la tukio). Pili sikuona umuhimu wa kuonesha kabila la victim ikiwa umeshatanguliza utaifa...
 
huyo kijana mama yake alishakufa siku nyingi,baba yake hana uwezo nae ni wa kuungaunga. Kijana alilelewa na bibi yake kwa miaka mingi. Alianzia ajira za utotoni kwa kuendesha bodaboda akiwa na umri mdogo mpaka juzijuzi kaka yake kindugu akamsaidia asafiri nae kama turnboy,walikua wakiogelea na wenzake ndipo maji yakawashinda nguvu,wengine naskia walilazwa hospital sijui kama wametoka,maskini ya Mungu na ndio mauti yamemkuta akiwa anasonga kutafuta maisha!.source:mtu anayemjua marehemu.Rip!
 
Ndugu sio Hujuma,hao itakua wameenda na vijana wageni kwa safari za Goma,kwa kawaida tulishakatazwa na wenyeji tuaioge kwenye hilo ziwa,mgeni akiingia tu kwenye hayo maji akitoka ni maiti

Kwanini wageni wanakufa? Je wenyeji wakiingia hawafi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…