napenda kufahamu historia japo kwa ufupi tu ya huyu mtangazaji wa tbc taifa anaendesha kipindi cha ujumbe na mziki.
Ni moja kati watangazaji ninaowakubali sana kwa uwezo wa kuwasilisha na kuichanganua habari kwa uwanja mpana sana mpaka mtu ukaridhika