Mtangazaji wa BBC Fred Mtoi afariki dunia

Humu JF tunae Mohammed Miti, so uwe unafafanua Jina zima kwenye Heading

Hata mi nlistuka sana nikafikiri Great Thinker Mohammed Mtoi katutoka.

Tuwe makini na headings za threads zetu wandugu. Tutajauana kwa mapresha bure.

RIP Mtoi wa BBC
 
Last edited by a moderator:
Badilisha heading yako. Andika jina full la marehemu. Kuna Mtoi wengi.. Unatuchanganya.
Mungu amuweke Fredy Mtoi. panapomstahili.
 

RIP Fredy
 
Badilisha heading yako. Andika jina full la marehemu. Kuna Mtoi wengi.. Unatuchanganya.
Mungu amuweke Fredy Mtoi. panapomstahili.

Heading imesomeka hivi:[h=2]Mtangazaji wa BBC Fred Mtoi afariki dunia

Unafahamu Fredy Mtoi wangapi wanaofanya BBC mpaka uchanganyikiwe
?[/h]
 
Mwenyezi Mungu akupe pumziko la milele pale alipo kupangia kaka Fred. Sisi sote ni wasafiri katika dongo hili.

*Mliodhani kama ni mimi ndio nimewatoka poleni sana kwa usumbufu wowote mlio upata, bado mwenyezi Mungu hajaamua kuniita*

Tukumbuke, kila nafsi itaonja mauti.
 

Mkuu Mohamed Mtoi una undugu na marehemu? Just curiosity!
R.I.P Fredy!!
 
R.I.P Fredy mtoi. kazi ya bwana haina makosa nasi tuko nyuma yako. ameni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…