PreGE2025 Mtangazaji wa Azam Tv, Hasheem Ibwe atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Mwanga, Kilimanjaro kupitia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram mtangazaji wa kabumbu wa Azam Tv, na msemaji wa Timu ya Azam FC ametangaza nia yake ya kugombea ubunge wa jimbo la Mwanga mkoani Kilimanjaro.
==

MWANGA NI YETU, KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE....

Salamu kwa Vijana wenzangu,

Huu ni wakati wa kusimama imara, kuchukua nafasi, na kuwa sehemu ya mabadiliko tunayoyataka kuyaona katika jamii zetu.

Maendeleo hayaji kwa kusubiri, yanajengwa na watu wenye maono, bidii, na moyo wa kujitolea. Na hakuna kikundi chenye nguvu, maarifa, na ari kubwa kama sisi vijana.

Tuna nguvu. Tuna uwezo. Tuna wajibu.

Tushiriki kikamilifu katika shughuli za maendeleo ikiwemo suala la uongozi kuchora dira yetu wenyewe.

Kama si sisi, ni nani? Kama si sasa, ni lini?

NATANGAZA RASMI NIA YANGU THABITI YA KUOMBA RIDHAA YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM YA KUPEPERUSHA BENDERA YA CHAMA JIMBO LA MWANGA KILIMANJARO MKOA ΝΑ WILAYA NINAYOTOKA.

Tuungane kwa pamoja, tuamke, na tuijenge Tanzania mpya yenye maendeleo ya kweli yanayoanzia kwa vijana.

MWANGA NI YETU, KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE.
1751093771753.jpg
 
Hongera kwake!Ni wakati wake.Sisi huku Tunduru kasikazini tunaenda na kijana mwenzetu Abdukarimu zama za yule Darasa la Saba Shemeji na Dalali wa huyo Pm wenu akae mbali kabisaa.Sisi kasikazini tunasema ni wakati wa kutua mzigo.Aliotutwika Majaliwa.
 
Mama Jana kasisitiza nafsi wapewe zaidi wanawake,vijana na watu wenye ulemavu..a change tu karata zake vizuri,japo mwaka huu CCM wako makini sana kwenye kuteua wagombea..wengi watashangazwa!
 
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram mtangazaji wa kabumbu wa Azam Tv, na msemaji wa Timu ya Azam FC ametangaza nia yake ya kugombea ubunge wa jimbo la Mwanga mkoani Kilimanjaro.
==

MWANGA NI YETU, KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE....

Salamu kwa Vijana wenzangu,

Huu ni wakati wa kusimama imara, kuchukua nafasi, na kuwa sehemu ya mabadiliko tunayoyataka kuyaona katika jamii zetu.

Maendeleo hayaji kwa kusubiri, yanajengwa na watu wenye maono, bidii, na moyo wa kujitolea. Na hakuna kikundi chenye nguvu, maarifa, na ari kubwa kama sisi vijana.

Tuna nguvu. Tuna uwezo. Tuna wajibu.

Tushiriki kikamilifu katika shughuli za maendeleo ikiwemo suala la uongozi kuchora dira yetu wenyewe.

Kama si sisi, ni nani? Kama si sasa, ni lini?

NATANGAZA RASMI NIA YANGU THABITI YA KUOMBA RIDHAA YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM YA KUPEPERUSHA BENDERA YA CHAMA JIMBO LA MWANGA KILIMANJARO MKOA ΝΑ WILAYA NINAYOTOKA.

Tuungane kwa pamoja, tuamke, na tuijenge Tanzania mpya yenye maendeleo ya kweli yanayoanzia kwa vijana.

MWANGA NI YETU, KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE.
View attachment 3386454
Waislam awakubaliki na yoyote hata Waislam wenzao wenye kuukubali ukweli awawakubali sasa huyo mpuuz ndiyo akagombee huko kwenye wakristo wengi kama sijakosea 🙄🙄
 
Tadayo is typing.............😄
Ngwaru maghembe is typing...........😄
 
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram mtangazaji wa kabumbu wa Azam Tv, na msemaji wa Timu ya Azam FC ametangaza nia yake ya kugombea ubunge wa jimbo la Mwanga mkoani Kilimanjaro.
==

MWANGA NI YETU, KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE....

Salamu kwa Vijana wenzangu,

Huu ni wakati wa kusimama imara, kuchukua nafasi, na kuwa sehemu ya mabadiliko tunayoyataka kuyaona katika jamii zetu.

Maendeleo hayaji kwa kusubiri, yanajengwa na watu wenye maono, bidii, na moyo wa kujitolea. Na hakuna kikundi chenye nguvu, maarifa, na ari kubwa kama sisi vijana.

Tuna nguvu. Tuna uwezo. Tuna wajibu.

Tushiriki kikamilifu katika shughuli za maendeleo ikiwemo suala la uongozi kuchora dira yetu wenyewe.

Kama si sisi, ni nani? Kama si sasa, ni lini?

NATANGAZA RASMI NIA YANGU THABITI YA KUOMBA RIDHAA YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM YA KUPEPERUSHA BENDERA YA CHAMA JIMBO LA MWANGA KILIMANJARO MKOA ΝΑ WILAYA NINAYOTOKA.

Tuungane kwa pamoja, tuamke, na tuijenge Tanzania mpya yenye maendeleo ya kweli yanayoanzia kwa vijana.

MWANGA NI YETU, KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE.
View attachment 3386454
Mwanga yenye Watu wenye AKILI KUBWA kuanzia Shule ya Shighatini niliyowahi Kusoma sidhani wana Uwendawazimu wa kukubali waongozwe na Mpumbavu na Sycophant. Hakuna Watu nawakubali kwa IQ kubwa japo ni WABAHILI Pro Max kama Wapare hasa wa Mwanga.
 
Mchawi na fuska mtarajiwa, dogo hana watu wa kumshauri aachane na upuuzi wa kuwa mwehu au anataka kwenda kuruka serekasi aonekana kwenye TV na kutrend?
 
MWANGA NI YETU ,KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE....📌
Salamu kwa Vijana wenzangu,

Huu ni wakati wa kusimama imara, kuchukua nafasi, na kuwa sehemu ya mabadiliko tunayoyataka kuyaona katika jamii zetu. Maendeleo hayaji kwa kusubiri ,yanajengwa na watu wenye maono, bidii, na moyo wa kujitolea. Na hakuna kikundi chenye nguvu, maarifa, na ari kubwa kama sisi vijana.

Tuna nguvu. Tuna uwezo. Tuna wajibu.

Tushiriki kikamilifu katika shughuli za maendeleo ikiwemo suala la uongozi kuchora dira yetu wenyewe.

Kama si sisi, ni nani? Kama si sasa, ni lini?

NATANGAZA RASMI NIA YANGU THABITI YA KUOMBA RIDHAA YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM na UVCCM YA KUPEPERUSHA BENDERA YA CHAMA JIMBO LA MWANGA KILIMANJARO MKOA NA WILAYA NINAYOTOKA.

Tuungane kwa pamoja, tuamke, na tuijenge Tanzania mpya yenye maendeleo ya kweli yanayoanzia kwa vijana. Maneno ya mtia nia hasheem Ibwe
1751130979961.png
 
View attachment 3387253
Kijana ajaribu bahati yake japokuw hatoboi
 
Mwanga yenye Watu wenye AKILI KUBWA kuanzia Shule ya Shighatini niliyowahi Kusoma sidhani wana Uwendawazimu wa kukubali waongozwe na Mpumbavu na Sycophant. Hakuna Watu nawakubali kwa IQ kubwa japo ni WABAHILI Pro Max kama Wapare hasa wa Mwanga.
download.jpeg
 
Back
Top Bottom