GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,625
- 128,020
- Thread starter
- #21
kwanini usingechukua ustaarabu wa kumtumia haya maswali kwa njia nyingine binafsi kama e-mail au whatsapp badala ya kuyaweka jf?.
Unavyo uliza vinatija kwa taifa la viwanda la sasa au ni unaa tu. ?
halafu hili ndio yale yalioandaliwa kuwa wa kwanza kupanda bombadia tarehe 15.
Saut mwanza imetoa reject
hapo ndo nashangaaga humu anamletea nani ujumbe huu
Mleta yeye ni mtu wa kupiga majungu tu
Mimi ndo Abdul sina muda wa kukujibu upuuzi huu. Unaniuliza haya maswali wewe kama nani? Mind your business life is too short.
Na apuuzwe kwa kuwa ni mpuuzi!
Mleta mada muda uliotumia kuleta huu uharo na ushakunaku hapa ungeutumia kukuna nazi Mke wako angekuona wa maana sana.
Mleta mada muda uliotumia kuleta huu uharo na ushakunaku hapa ungeutumia kukuna nazi Mke wako angekuona wa maana sana.
Asante kwa kuwasilisha maswali yaliyokua yananisumbua hasa la 7, wengi wanaotoka BBC ni wazee ambao tayari wamekula chumvi nyingi, kijana mdogo kama huyu unaanzaje kukimbia RAHA za malikia kisa TABATA relini(haiingii akilini)
Una wivu huna lolote
Hiv wewe ukiacha kaz sehem utakuja humu kusema kwann umeacha?
Kwanza wee dume au jike..mbea mkubwa wewe pepo mpenda majungu, alaf utalikuta linalia maisha magumuuu..sasa kwa umbea huu sio maisha yatakua magumu tu ila njaa itakuua
Mada za waleeeeee.....................Wa DAR
Na vp sports xtra maana juz naona dauda anadai kamsajili tena kwenye kipindi chake na huku azam wamempa umeneja