MTANDAONI KUNA AJIRA ZINAZOLIPA, CHUKUA HATUA UBADILISHE MAISHA YAKO

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
Nadhani wengi wetu tunaotumia internet sio wageni kukutana na maada za "make money online" (tengeneza pesa online)... Kwa Mara ya kwanza nilikuwa sitilii maanani kabisa na nikadhani ni kitu kigumu ambacho kina hitaji use umesomea kabisa mambo kama computer science, Lakini nilikuwa nimekosea sana kujiwekea hayo mawazo ambayo yalichangia Mimi kupuuzia hii furaa.

Inawezekana kabisa kupiga pesa mtandaoni kwa njia kadha. na kadha.

1.Blogging - hapa inatakiwa uwe na blog ambayo inazungumzia maada kama habari za michezo, urembo, kupunguza uzito, n.k chukulia mfano tu kama wa Millard ayo. Kuvuna pesa kupitia blog kunahutaji watembeleaji na hawa watembeleaji inabidi ufanye kazi ya kushare kila maada yako kwenye mitandao ya kijamii kama facebook na WhatsApp...Sitaki kuwatisha lakini kupata watembeleaji wengi inabidi umiliki kama account 30 hivi za Facebook ambazo utatumia kushare maada za blog yako kwenye Facebook.

Affiliate marketing - Vuta taswira Jirani yako ana simu anataka kuiuza na we we umemfata umemwambia unaweza kumsaidia aiuze...Hapo ukifanikiwa kuiuza hip simi yake ni lazima akupe kitu kidogo kwa msaada wako wa kufanikisha kuiuza simu...ndivyo ilivyo kwenye affiliate marketing ambapo unasaidia wauzaji wa bidhaa wa makampuni uwasaidie kuuza bidhaa zao kwa makubaliano ya kupewa kifutia jashi cha juhudi zako...mfano wa makampuni hata ni clickbank

Article writing- Hii ni Huduma ya kusaidia watu kama bloggers waweze kupata nakala safi iliyoandikwa kwa utaalamu stahiki wa kupangilia maada kutoka kwa mwandishi (article writer) najua wengi wenu mnaweza kuujua uandishi wa the bold ambao humfanya msomaji asichoke kusoma ...Mara nyingi bei za article writers huwa ni kiasi flank cha pesa kwa kila maneno 100

Ntaemdelea
 
Too general and not helpful at all...! If u really want to help, start by explaining each of what u have listed in detail.
 
Back
Top Bottom