.....Taarifa za kiintelijensia zinaeleza kwamba tayari Kikwete amekwisha kuanza kufanya mikakati ya chini kwa chini ikiwa ni pamoja na kuandaa makundi ya vijana ambao wameanza kuahidiwa nafasi kadhaa za kisiasa na kiutendaji baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2010 kama njia ya kuwafanya wawe watiifu kwake..................."
kwa maoni yangu JK HAWEZI KUINGIA KWENYE UCHAGUZI BILA KUTEGEMEA HIVI VIKUNDI NA BADALA YAKE AKATUMIA MAKADA WA PALE MAKAO MAKUU ILI KUEOUSHA KULIPANA FADHILA HUKO MBELENI, je taifa linamuhitaji Rais mwenye ubia na wakora bado ?
..."Taarifa za kiintelijensia zinaeleza kwamba tayari Kikwete amekwisha kuanza kufanya mikakati ya chini kwa chini ikiwa ni pamoja na kuandaa makundi ya vijana ambao wameanza kuahidiwa nafasi kadhaa za kisiasa na kiutendaji baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2010 kama njia ya kuwafanya wawe watiifu kwake
Inawezekana ni kweli kua WaTz ni wavivu kujisomea,uvivu wetu tu wa kujisomea. Duniani kote hakuna chama cha siasa kisicho na factions - mitandao. Soni la maana katika hili la JK. Makundi ya CCM yanashindana tu kuwa nyuma ya JK kwa ajili ya kujipanga kuelekea 2015. Hiyo ndio common denominator.
Waliapa watamfanya ashindwe kutawala na wamefanikiwa. Sasa wanajipanga.
i agree with u NguvumaliInawezekana ni kweli kua WaTz ni wavivu kujisomea,
ninachowaza ni kua JK AMESHINDWA KUJINASUA NA NGUVU ZA MITANDAO ALIYOIUNDA 2004/05, Kilichotokea kipindi chote kuanzia lile baraza la mawaziri kubwa kuliko yote tangu UHURU hadi sasa ni kulipana fadhila kwa kila juhudi na jitihada zilizofanywa katika kampeni, na hiyo ndio iliowaleta kina NNCNIMBI,Bangusilo,Kingunge,Mahanga,Sofia Simba nawengine madarakani.
Obama alikua na mtandao, lakini hata mara moja hakuna anaehoji uteuzi wa watendaji wake, JK tangu mara ya kwanza tu alipotaja baraza lile kituko watu walishangaa namna alivyotapanya vyeo kwa misingi ya fadhila, hebu nambie Adam Malima anasifa ipi kustahili kushika wadhifa ule, ni moja kati ya teuzi za ovyo.
sasa WATZ wanapohoji juu ya kuendekeza makundi ya hivi unawez kwa akili ya haraka haraka usione athari yake, ila nnchi hii imefika hapa kwa athari kubwa za kimtandao....
mwangalie Mkurugenzi wa habari wa Ikulu Salva RWEYEMAMU, alikua katibu wa mtandao, akamteua kuwa mkurugenzi wa habari Ikulu wakati toka mtaani, wakati katika system kuna watu kadhaa wenye sifa wamebaki wakishangazwa na uteuzi huo hadi leo, nenda pale Wizara ya Habari kaulize.
hayo yote ni matokeo ya kulipa fadhila.
Mtandao bado naamini utamuingiza matatizoni zaidi yeye mwenyewe na Tanzania yetu iwapo tu ataingia madarakani tena 2010..maana hana ubavu wakukemea marafiki hivyo ni bora akajitenga nao.
hapo ndipo penye shida ambapo WaTz wanapaswa kugundua kua Rais wao hajiwezi bila nguvu za hawa watu wanaojiita mtandaoMtandao ndo nguvu ya JK kwani umemwezesha kuwa RAISI WA JAMHURI YETU PENDWA YA TANZANIA..
Kumbuka Dodoma baada ya kutangazwa mshindi alitoa machozi ya furahaa akielekeza mikono yake juu na kuwatizama wanamtandao waliokuwa wanamshangilia kwa KUKAMILISHA KAZI...Kwa jeuri alitamka sasa KURA ZIMETOSHA...