PreGE2025 Mtandao wa vijana na wanawake (TK Movement) wakutana Dodoma

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Naona vikundi vinaendelea kila kukicha, vijana wanakusanywa na kutumika sana wakati huu na watawala. Uchaguzi ukiisha wanarudi kwa ground tena kulalamika hali ngumu, hakuna nk.
===

Mtandao wa Vijana na Wanawake wa Taifa letu, Kesho yetu (TK Movement), Mei 3, 2025 wamekutana mkoani Dodoma ili kupeana mikakati na mbinu mbalimbali za kufikia lengo la kufanikisha ushindi wa kishindo kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.

Mgeni rasmi katika tukio hilo ni Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Ally Hapi ambapo pamoja na mambo mengine wanachama wa mtandao huo watapata mafunzo katika semina hiyo kutoka kwa viongozi wa Mikoa na Wilaya wa TK Movement.

Mtandao huo unajihusisha na kuhamasisha jamii hususani vijana kufanya mapinduzi ya kifikra na uchumi nchini ili kujenga Taifa lao la kesho.
1746351641736.png

1746351695759.png

Source: TBC
 
Hakuna kitu kigumu kama kudanganya NAFSI yako... Yaani unajua kabisa hapa hiii sio kweli .... Tukiweka mbungi ipigwe huru hatuchomoi ...
 
Naona vikundi vinaendelea kila kukicha, vijana wanakusanywa na kutumika sana wakati huu na watawala. Uchaguzi ukiisha wanarudi kwa ground tena kulalamika hali ngumu, hakuna nk.
===

Mtandao wa Vijana na Wanawake wa Taifa letu, Kesho yetu (TK Movement), Mei 3, 2025 wamekutana mkoani Dodoma ili kupeana mikakati na mbinu mbalimbali za kufikia lengo la kufanikisha ushindi wa kishindo kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.

Mgeni rasmi katika tukio hilo ni Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Ally Hapi ambapo pamoja na mambo mengine wanachama wa mtandao huo watapata mafunzo katika semina hiyo kutoka kwa viongozi wa Mikoa na Wilaya wa TK Movement.

Mtandao huo unajihusisha na kuhamasisha jamii hususani vijana kufanya mapinduzi ya kifikra na uchumi nchini ili kujenga Taifa lao la kesho.
View attachment 3324323
View attachment 3324324
Source: TBC
They are used like toilet paper, then flushed
Happi is paid
 
Jukwaa la wanawake halafu mnavalishwa T-shirt na kofia za SSH huo sasa mbona ni usenge sana tu
 
Ukiwauliza kuwa kuna uchaguzi wa huru na haki wanaitikia ndiyo kwasababu Samia anasema hivyo.

Siku Samia akisema amekubali wadau wa uchaguzi hivyo wanarudi mezani kuboresha muundo wa tume ya uchaguzi ili iwe huru na haki utawasikia wanapiga tena vigelegele kuwa Samia amesikia kilio cha wadau.

Ukishaanza kufikiri kwa kutumia tumbo, kamwe kichwa hakiwezi kufanya kazi tena. Poleni sana vijana wa TK MOVEMENT, Unabatiki rasilimali zetu kuhujumiwa huku mkiwa hampati chochote.
 
Naona vikundi vinaendelea kila kukicha, vijana wanakusanywa na kutumika sana wakati huu na watawala. Uchaguzi ukiisha wanarudi kwa ground tena kulalamika hali ngumu, hakuna nk.
===

Mtandao wa Vijana na Wanawake wa Taifa letu, Kesho yetu (TK Movement), Mei 3, 2025 wamekutana mkoani Dodoma ili kupeana mikakati na mbinu mbalimbali za kufikia lengo la kufanikisha ushindi wa kishindo kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.

Mgeni rasmi katika tukio hilo ni Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Ally Hapi ambapo pamoja na mambo mengine wanachama wa mtandao huo watapata mafunzo katika semina hiyo kutoka kwa viongozi wa Mikoa na Wilaya wa TK Movement.

Mtandao huo unajihusisha na kuhamasisha jamii hususani vijana kufanya mapinduzi ya kifikra na uchumi nchini ili kujenga Taifa lao la kesho.
View attachment 3324323
View attachment 3324324
Source: TBC
Wanakutana huko kwa gharama za nani fedha za uma zinatumika vibaya.
 
Upumbavu ni mdudu asie faa kwa ustawi wa mtu mweusi aiseeee....☹️
 
Naona vikundi vinaendelea kila kukicha, vijana wanakusanywa na kutumika sana wakati huu na watawala. Uchaguzi ukiisha wanarudi kwa ground tena kulalamika hali ngumu, hakuna nk.
===

Mtandao wa Vijana na Wanawake wa Taifa letu, Kesho yetu (TK Movement), Mei 3, 2025 wamekutana mkoani Dodoma ili kupeana mikakati na mbinu mbalimbali za kufikia lengo la kufanikisha ushindi wa kishindo kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.

Mgeni rasmi katika tukio hilo ni Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Ally Hapi ambapo pamoja na mambo mengine wanachama wa mtandao huo watapata mafunzo katika semina hiyo kutoka kwa viongozi wa Mikoa na Wilaya wa TK Movement.

Mtandao huo unajihusisha na kuhamasisha jamii hususani vijana kufanya mapinduzi ya kifikra na uchumi nchini ili kujenga Taifa lao la kesho.
View attachment 3324323
View attachment 3324324
Source: TBC
Kuna dada mmoja anajiita Jane Chitojo ndio mmiliki wa ujinga huu. Ukifuatilia ukaribu wa huyu Dada na Rais utakuta kuna uovu. Puuzi sana hili dada kila mara lipo busy na Samia hata mumewe ana muda nae.
 
Back
Top Bottom