security guard
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 799
- 603
Takwimu zinaonyesha kwamba kwa sasa asilimia 36% (kutoka asilimia 10% ya mwaka 2005) Tanzania Bara wana pata umeme asilimia 36% wanatumia umeme na asilimia 21% ya wanavijiji wa Bara wanatumia umeme kutoka asilimia 2% mwaka 2005.Tayari imevuka malengo ya CCM na ya Serikali ya asilimia 24% wameunganishwa.Tuendelee kuchapa kazi kwa kasi na ubunifu mkubwa.
Waziri wa Nishati na Madini
Sospeter Muhongo
Kikwete Juu zaidi.
Fikiri, 10% hiyo ni kuanzia Mkoloni, Nyerere miaka 24, Mwinyi 10, Mkapa 10 Kikwete pekee kafanya asilimia 26 kwa miaka 8 tu. Waliomtangulia, jumla ya miaka 44 hata nusu yake wameshindwa kufanya halafu mijitu humu "nyerere, nyerere, nyerere" hata haya haioni wala vibaya haijui.
Jamani hii katiba ibadilishwe haraka Kikwete aendelee japo kwa miaka 10 mingine. Anachapa kazi si mchezo, kila kitu kafanya zaidi ya wote waliomtangulia kwa maendeleo ya nchi.
Wewe faiza unalako jambo sio bure. Sijui kama unatambua jinsia yako sawa sawa. Ebu vua nguo zote ujiangalie kwanza alafu ukipata jibu basi jaribu kucomment kuendana na jinsia yako. Samahani sana

Sasa hapa ndio umejibu nini?

leo sijakuona kabisa kwenye mijadala ya kule kalenga. au uko sehemu unapata mbege? kwa taarifa yako mmeshinda kule kalenga kwa kishindo >80%! Hongereni!Hongera US wahisani wengine ktk REA....CCM wanaikimbiza TANESCO KUMWAGA NGUZO HOVYO ILI ZIPITE NA WIRE MITAANI..kwa ajili ya kura mwakani
Wewe faiza unalako jambo sio bure. Sijui kama unatambua jinsia yako sawa sawa. Ebu vua nguo zote ujiangalie kwanza alafu ukipata jibu basi jaribu kucomment kuendana na jinsia yako. Samahani sana
Hoja mjarab, imekushinda kuijibu? mimi ni mimi na achana na mimi, jibu hoja. Hivi wewe ni jinsi ipi?