Mtandao wa TTCL majanga

Kwetu kaya

JF-Expert Member
Aug 1, 2015
547
403
Takriban siku ya tatu sasa huu mtandao wa simu mtumiaji hawezi kujiunga na huduma yoyote zaidi ya kupigiwa simu apokee.
Tatizo nini au mshaufuta rasmi?
 
Takriban siku ya tatu sasa huu mtandao wa simu mtumiaji hawezi kujiunga na huduma yoyote zaidi ya kupigiwa simu apokee.
Tatizo nini au mshaufuta rasmi?
Jana nimejiunga na kifurushi cha Bufee dkk.80 smg.80
 
Upo zako home, unaunganisha smart tv na Internet ya simu, mara mtu anakupigia inabidi watazamaji wapozi kidogo. Mara unapokea msg umetumia 75% 😂😂
Ndugu yangu piga 0745015421 tukuunganishe unlimited internet, 5G toka Vodacom kwa bei Kitonga huku ukiunganisha Hadi vifaa 256
 
Back
Top Bottom