Lini ulikuwa sio shida?Kiukweli mtandao wa tigo siku hizii ni shidaa tupuuu,,
Mwazoni ilikuwa afadhari kidogo ila siku hizi ata sijui nisemeje,,Lini ulikuwa sio shida?
Uko pande za wapi? Tatizo limeisha au bado linaendelea? Jana hata halotel mwanza ilikua kwikwi tu almost mchana kutwa. Hii mitandao kuna haja ya kuingezea fine kwa huduma mbovu fines wanazotozwa ni ndogo sana kulinganisha na hasara tunayopata.Wadau huku niliko internet ya tigo inasoma h+ na wakati huo huo unaweza kua na bundle la mb650 na setting ya internet ktk simu wamekutumia wenyewe lakini inashindwa kufungua application yoyote ktk simu sasa naomba kujua tatizo ni mtandao wao au simu na kama ni simu basi ni wengi Wana shida kama yangu huku niliko wilaya ya Korogwe,tanga.
Wadau huku niliko internet ya tigo inasoma h+ na wakati huo huo unaweza kua na bundle la mb650 na setting ya internet ktk simu wamekutumia wenyewe lakini inashindwa kufungua application yoyote ktk simu sasa naomba kujua tatizo ni mtandao wao au simu na kama ni simu basi ni wengi Wana shida kama yangu huku niliko wilaya ya Korogwe,tanga.